MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 236
- 209
wabomoe tu,majuto ni mjukuu
Watz hawaeleweki kabisa, serikali ikisimamia sheria mnalalamika, ikifumba macho mnalalamika, hivi mnataka nini hasa?
Kama watu waliishi hapo kinyume cha sheria, hakuna namna zaidi ya kuwaondoa. So tusilete siasa kwenye mambo ya msingi kama haya, kumbe hadi mahakama ilishaamuru watoke.
kumbe wangechagua mamvi jiji lingekuwa uswazi hata ukitaka kujenga katikati ya barabara poa tu
Nimepita maeneo ya Mwenge this morning kuna sehem kuna bomoa bomoa too bad wale watu hata hawajatoa vitu vyao
Sioni unachofurahia, kwa hiyo machinga na bodaboda wa Mwenge wanamiliki majumba yanayobomolewa? lazima zitakuwa mbele dk 3.muxar;
Msasani wapi?? Kule kwa wazee hafiki mtuuuu. Malofa na Wapumbavu ndo watakiona cha moto hadi wajue ccm ni ndumeee. Yaani we acha tu. Kilio hiki hata Mola hasikii tena, huku wanaendelea kuapishwa kulee mjengoni
Hizi nyumba zilizobomolewa mwenge zinazaidiy ya miaka arobaini na kama zilikuwa ni maeneo ya wazi je serekali ilikuwa wapi kwa muda huo wote au isije ikawa sababu ni hiyo hoteli inayojengwa hapo karibu ? Nadhani wakaazi wa hapo wanajua na shauri lao lilikuwepo mahakamani je limeshatolewa uamuzi ?
Vipi kituo cha mafuta cha BIG BON na jengo la ghorofa lililokaribu yake hapo sinza mori je si ni eneo la wazi hilo maana kwenye mchoro halimo je vitabomolewa ? na pia kituo cha mafuta cha TSN BAMAGA kipo ndani ya hifadhi ya barabara je kitabomolewa lini ?
Nawakilisha.............
Sawasawa ni mkaanga samaki maarufu anaitwa mama Upendo au Mama Mwakasendile.Huyo mama kwenye you tube tuliishinaye hapo magorofa ya jeshi,mume wake alivostaafu akahamia hapo pembeni, hata hivyo mume wake alipalalaizi akafariki...mama ni bingwa wa kukaanga samaki huyo
Jengo la TANESCO vipi?
ilikuwa inasubiri uchaguzi uishe ikomeshe wananchiSerikali ilikuwa wapi wakati wananchi hao wakivamia?