rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,442
Ooo mwenge mnasemaaaajeeee........ Ccm ni ile ileee oohh ni ile ileee.........
Mwenge na ccm! wapi na wapi!?
Ooo mwenge mnasemaaaajeeee........ Ccm ni ile ileee oohh ni ile ileee.........
Hivi polisi wakienda kukamata muhalifu huwa wanampigia simu kwanza kumwambia ndio wanaenda?Hivi huwa wanawapa taarifa kwel?
Maana kubomoa nyumba saa kumi sidhani kama ni sawa
Dah! Nammpigia simu Dokta Manyaunyau ili alikaushe mafuta hilo katapila kabla halijakaribia mjengo wango ajabu simu yake yenyewe siipati. Shidah hii leo
Hata hivyo, naunga mkono serikali yangu mkimaliza huko mje hapa magomeni kwenye kanisa karibu na travetine. Tulikuwa tukicheza sana chandimu hapa lakini siku hizi ni kelele tu za wavamizi.
Watumishi wa Ardhi/ manispaa walioachia ujenzi huo holela uendelee bila zuio lolote nao wachukuliwe hatua wao ndio kiini cha utapeli na usanii wa aina hii.
Ndiyo wakome...wamezidi kuharibu mandhali ya miji. Yaani mtu asibakize matofali na vipande vya bati na mbao unakuta huyo anaongeza eneo la mpaka na kuyatafutia kazi hayo mabaki ya vifaa vya ujenzi.
Sijui mandhali ikiwa nzuri wanapungukiwa nini!!
Tena wasiishie hapo, hadi frame za biashara zipigwe marufuku na badala yake yatengwe maeneo maalum ya biashara badala ya kugeyza maeneo ya makazi kuwa ya kibiashara.
Ni vena ukajiuliza kwanza, hao watu wapo tangu miaka ya 1990 wamejenga eneo hilo je mamlaka zilikuwa wapi kuwazuia na uendelezaji wa maeneo hayo? Ninachojua kuna idara za Mipango miji, Ardhi na Ujenzi ambazo ufuatilia pale tu panapochomoza jengo lolote na kuangalia kama taratibu zimefuatwa sasa idara hizi zilikuwa wapi hadi wakati huu?Hebu tazameni na upande wapili .Serikali haiwezekani kuwabomolea bila sababu,huenda wameshalipwa ,huenda walijenga maeneo yasiyoruhusiwa kisheria
Ndiyo wakome...wamezidi kuharibu mandhali ya miji. Yaani mtu asibakize matofali na vipande vya bati na mbao unakuta huyo anaongeza eneo la mpaka na kuyatafutia kazi hayo mabaki ya vifaa vya ujenzi.
Sijui mandhali ikiwa nzuri wanapungukiwa nini!!
Tena wasiishie hapo, hadi frame za biashara zipigwe marufuku na badala yake yatengwe maeneo maalum ya biashara badala ya kugeyza maeneo ya makazi kuwa ya kibiashara.
Lile jengo la Mch.Lwakatale limeisha bomolewa? Kwa hiyo sheria inafanya kazi kwa walala hoi lakini kwa watu wenye vyeo na fedha zinapinda?Wavamizi walishaonywa wakitakiwa waondoke, wakadhani utani. Hii ni serikali ya kufuata sheria na kanuni tu, basi. Lazima tunyooke, si kila mtu kujifanyia analotaka.
- Nani angekubali abomoe kabla ya uchaguzi kwami hataki kibarua
- nahisi ni maagizo toka ngazi za juu
- walikwina?
- Nahisi kwa vile wakazi wengi wa Dar wameikataa CCM
Tusitumie utalaamu wetu kuficha ukweli na kupotosha jamii. Aliyewahamishia watu katika kile kinachoitwa hifadhi za barabara ni hayati Mwalimu Nyerere, tena kwa kuagiza mashamba, makazi n.k uvichomwe moto kupitia sera zake za vijiji vya ujamaa. Akawajengea huduma mbali mbali za kijamii kama vile shule, zahanati katika hivcho leo kinachoitwa hifadhi za barabara.
Serikali yake ikawapimia ardhi husika na Kamishna wa Ardhi kuwapatia hati miliki. Sasa makosa ya hao wananchi yako wapi?
Lile jengo la Mch.Lwakatale limeisha bomolewa? Kwa hiyo sheria inafanya kazi kwa walala hoi lakini kwa watu wenye vyeo na fedha zinapinda?
Ww hujielewi ungekuwa ww au wazazi wako ndio wanabomolewa ungesema hivyo??? Umekera sana! Acha uchama toa changizo
Una haraka ya nn bomoa bomoa imeisha??
Aisee poleni sana, ndiyo tunaisoma namba taratibu
Unafurah Watu Kuharibiwa Vitu Ndan ,unaleta Uchama Bdala Ya Uzalendo Kwa Kuwa Mama Ako Ama Ndugu Yako Hayup Katka Hlo Janga, Huwazii Weny Mimba,wazee,watoto Kweli Mungu Akusameh T Kwa Utumb Ulio Comment