krystiano7
Member
- Mar 19, 2019
- 94
- 132
Mkuu unajua binadamu wanyama mimea nk wote tunaconnection,hivyo unapofanya jema juu ya vitu hivyo ulimwengu nao unakuzawadia kitu utakacho,ni km vile tunavyoaswa kutowatendea vibaya watu na kuogopa kwamba na sisi tutatendewa vibaya. Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi niambia kwamba ukifanya biashara ya kuuza mkaa utaifanya kwa miaka mingi bila kukua au usikue kabisa maana biashara hiyo inahusisha kukata miti ambayo ni chanzo kimojawapo cha kutunza nature(japo sina uhakika na hili)mkuu krystiano7 ukija naomba ufafanue zaidi. Kama nieelewa hivi.
This is trueHabari wakuu!!
Leo nataka niwashirikishe mojawapo ya njia ya kuweza kupata au kufanikisha kitu chochote ambacho unahisi ni kigumu katika maisha yako. Moja wapo ya njia hii ni kutoa chochote kwa nature(give something to the nature).
Mfano unajua una kikao muhimu sana kabla ya kwenda kwenye hicho kikao unaweza kwenda sehem ambayo wanauza nyuki ukanunua nyuki wale na kuwaachia,unaweza amua kupanda miti nk. Ancient culters walitumia njia km hizi kwa miaka mingi kwa kutoa/providing to nature in order to bring good fortunes.
Natoweka nikiweweseka kiwendazimu
Aisee mbona wauza mbao Ni matajiri fresh tu.Mkuu unajua binadamu wanyama mimea nk wote tunaconnection,hivyo unapofanya jema juu ya vitu hivyo ulimwengu nao unakuzawadia kitu utakacho,ni km vile tunavyoaswa kutowatendea vibaya watu na kuogopa kwamba na sisi tutatendewa vibaya. Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi niambia kwamba ukifanya biashara ya kuuza mkaa utaifanya kwa miaka mingi bila kukua au usikue kabisa maana biashara hiyo inahusisha kukata miti ambayo ni chanzo kimojawapo cha kutunza nature(japo sina uhakika na hili)
Kijana wa ovyo unapingana na nature?Aisee mbona wauza mbao Ni matajiri fresh tu.
😄😄 Jamaa anatukosea wauza mkaa mkuu 😄Kijana wa ovyo unapingana na nature?
Vipi mtu anayefanya biashara ya kuuza nyamaMkuu unajua binadamu wanyama mimea nk wote tunaconnection,hivyo unapofanya jema juu ya vitu hivyo ulimwengu nao unakuzawadia kitu utakacho,ni km vile tunavyoaswa kutowatendea vibaya watu na kuogopa kwamba na sisi tutatendewa vibaya. Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi niambia kwamba ukifanya biashara ya kuuza mkaa utaifanya kwa miaka mingi bila kukua au usikue kabisa maana biashara hiyo inahusisha kukata miti ambayo ni chanzo kimojawapo cha kutunza nature(japo sina uhakika na hili)
Ongeza nyama kidogo mkuuNa ndioMana wazungu Wana wafuga mbu nakuja kuwa achia afrika.
Kijana wa ovyo unapingana na nature?
✉️✉️✉️ Napatikana bwana...Mbona hupatikan?
Huhuhuuu✉️✉️✉️ Napatikana bwana...