Mangwea tangulia!

Kweli mapinduzi kwenye fani mpaka saudari anaweka vina vikali kama hivi
Apumzike mahali pema Albert mzee wa mikasi
 
Last edited by a moderator:
Inakuwaje wanakosa milioni 4 tu yakumrudisha huyu kijana nyumbani?
 
Ha ha ha ha.. hivi wamsikia tu Paloma wewe.. Kuwa malenga kumpita Andanenga sauti ya kiza lakini katu hutopata nafac lau chembe saudari..
Paloma napenda nipate lau nafasi, nipate kusema nawe kidogo aaaah mama wewe. moyoni naumiaaaa.
Hakika lakufanya bado sijaliona, nimeona leo bora nikuite, huenda kumbe moyo wako ukadunda,
Ikaja siku ukaja nipoza moyo oooh mama wewe!!!! Mwenzio naumiaaa!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

pole kwa kuumia malenga saudari
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha.. hivi wamsikia tu Paloma wewe.. Kuwa malenga kumpita Andanenga sauti ya kiza lakini katu hutopata nafac lau chembe saudari..

..... saudari atatunga sana....hata akimaliza vina vyoote anavyovijua na vya kuigilizia hanipati ng'oooo!
niliangukia kwako sosoliso kwa mstari mmoja tuu............unaukumbuka?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…