VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Dah saudari nimekusoma mkuu...namuombea class mate wangu alale mahala pema aisee(RIP Bro)Kaunga alikusikia, akashindwa kufikiria,
Umauti umekufikia, huku Smile anakulilia,
Hakuna mtu aliyezimia, ila Paloma anaugulia,
Mangwea tangulia!
WanaChitChat tunakuombea, mahali pema kuelekea,
Japo mwenzio kakufuatia, haina budi kuvumilia,
Mwanao ataangaliwa, shaka kabisa ondoa,
Mangwea tangulia.
Uchakachuzi unapoanzia
Erickb52 nakuhusia, Chocs kumsikia,
Chochote anachokuambia, ni vyema kumfanyia,
Mapochopocho kumnunulia, na upendo kumuonyeshea,
B52 nakuambia, natumaini hautomkimbia.
Mr Rocky angalia, njia unazokimbilia,
Mamndenyi anakulilia,weye wafurahi na Nivea,
Baba V anakuangalia, bila hata kukukemea,
Rocky kuwa makini, umshinde TUMAINI.
sosoliso nakuapia, Paloma kukuchukulia,
Khanga moja kunivalia, na macho hunilegezea,
Wowowo kunitingishia, na mwendo hunibadilishia,
Soso angalia, kabla sijakuingilia.
Shairi nalimaliza, japo nimewaumiza,
Mizaha nimeiendekeza, na ukweli kuwajuza,
Someni mkijiuliza, na pia kunijibiza,
Shukrani natanguliza, kumradhi kwa niliowakwaza.
Aisome Asprin, Slave, Bishanga, manoah, King'asti, Kongosho, Zamaulid, Queen Kan, kamtu33, Dark City, Safari_ni_Safari, Elli, Filipo na wengine nilioshindwa kuwataja.
Kaunga alikusikia, akashindwa kufikiria,

Mmmh kama vile nakosea sijui
aisee, humu ndani watu ni watoto sana,Dah saudari nimekusoma mkuu...namuombea class mate wangu alale mahala pema aisee(RIP Bro)
Kaunga alikusikia, akashindwa kufikiria,
Umauti umekufikia, huku Smile anakulilia,
Hakuna mtu aliyezimia, ila Paloma anaugulia,
Mangwea tangulia!
WanaChitChat tunakuombea, mahali pema kuelekea,
Japo mwenzio kakufuatia, haina budi kuvumilia,
Mwanao ataangaliwa, shaka kabisa ondoa,
Mangwea tangulia.
Uchakachuzi unapoanzia
Erickb52 nakuhusia, Chocs kumsikia,
Chochote anachokuambia, ni vyema kumfanyia,
Mapochopocho kumnunulia, na upendo kumuonyeshea,
B52 nakuambia, natumaini hautomkimbia.
Mr Rocky angalia, njia unazokimbilia,
Mamndenyi anakulilia,weye wafurahi na Nivea,
Baba V anakuangalia, bila hata kukukemea,
Rocky kuwa makini, umshinde TUMAINI.
sosoliso nakuapia, Paloma kukuchukulia,
Khanga moja kunivalia, na macho hunilegezea,
Wowowo kunitingishia, na mwendo hunibadilishia,
Soso angalia, kabla sijakuingilia.
Shairi nalimaliza, japo nimewaumiza,
Mizaha nimeiendekeza, na ukweli kuwajuza,
Someni mkijiuliza, na pia kunijibiza,
Shukrani natanguliza, kumradhi kwa niliowakwaza.
Aisome Asprin, Slave, Bishanga, manoah, King'asti, Kongosho, Zamaulid, Queen Kan, kamtu33, Dark City, Safari_ni_Safari, Elli, Filipo na wengine nilioshindwa kuwataja.
Duh heri nikae kimya... Paloma huyu jamaa kumbe ni mshairiSio kwamba unakosea, ni wivu wanionea,
Mengi huniongelea, huku ukinisogelea,
Hata kufungwa cha Sea, serekali imemunea,
Hivyo sitaki ongezea, usije ukakolezea.