central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 150
- 218
Labda kama unaongelea kina young lunyaAlivokua mangwair zamani ni mara mbili ya marapa wote wa sasa hivi
O.PHao wote ni overated. Labda kama mnazungumzia freestyle (kwa maana ya kuflow bila kuandika), ila kwenye uandishi Kuna watu wanasubiri sana
Wote hao wapo overated .Ndugu zangu wa Hip hop nawaomba hapa kidogo tuwekana sawa.
Wanasema kwenye pick yake The Late Albert Mangwair alikuwa mkali sana wa freestyle yani mitindo huru. Na sifa kuu alikuwa na uwezo mkubwa wa kukaa kwenye topic bila kutoka nje ya mada huku akifreestyle tu(nlimsikia juzi kati fareed kubanda akisema hili)
Lakini wanasema Rashid Makwilo yani Chid Benz pia alikuwa noma sana kwenye mitindo huru.
Kwanini nimeandika haya????
Wanasema kuna battle ilifanyika kati ya Chid na Mangwair na Chid Benz alipotezwa vibaya mno tena alikuwa nyumbani Ilala.
Ebu kwa anaefahamu je ni kweli??? Na ulikuwa mwaka gani?
Ngwair na Chid nani zaidi????
Karibuni.
We haujui mzikiHao wote ni overated. Labda kama mnazungumzia freestyle (kwa maana ya kuflow bila kuandika), ila kwenye uandishi Kuna watu wanasubiri sana
Inaitwa husda na roho mbayaWote hao wapo overated .