Wewe ndo mpuuzi[emoji23]Mimi ni Yanga, ila ukweli ni kuwa, soka la Bongo sasa ni upuuzi mtupu.
MANGUNGU AFUNGUKA SIMBA KUCHEZA DERBY KWA MARA YA KWANZA..!!
.
.sisi viongozi hatuna lolote la kuongezea kile walichosema mamlaka. Ratiba ya kwanza walitoka wao, ya pili wao. Sisi kazi yetu ni kucheza mpira na tutacheza
.
View attachment 3368695
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwani hawaogopi??Walete Mpanzu wao Sasa, tuna hamu ya kumkaba
[emoji23][emoji23] Ahmed ally sijui ana Hali Gani huko
kwa unyoooongeeee.MANGUNGU AFUNGUKA SIMBA KUCHEZA DERBY KWA MARA YA KWANZA..!!
.
.sisi viongozi hatuna lolote la kuongezea kile walichosema mamlaka. Ratiba ya kwanza walitoka wao, ya pili wao. Sisi kazi yetu ni kucheza mpira na tutacheza
.
View attachment 3368695
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wana hofu wapo mapangoni Bunju wanalia
FIFA waje mpewe points 3 za mezaniFIFA Msichelewe
Atajua mwenyewe huyo mropokaji
Tanzania IfungiweFIFA waje mpewe points 3 za mezani
Ifungiwe kwanini?Tanzania Ifungiwe