Afungwe ki vipi ? Mtu anapuliza filimbi yake anafungwaje, wahusika wote wapo wamefunguka yeye anafungwaje hapomange sijui kama hatafungwa
Kama alitukanwa nawe mtukane hasira ziishe Ila ndo keshasema hivyo kamwaga mchele kwenye kuku wengiMi ninauliza nyie mliomtukana wakati ule nini kimebadilika leo unamuamini?