Mange Kimambi kuja na maandamano nje ya World Bank HQ; huu mkakati umenishtua sana

Jamani Barabara ya Ubungo Chalinze mbona kimya na bomoabomoa yote ile!? Au ndo WB wameanza kutuadhibu!?
 
Mange hawezi kuwapa world bank taarifa za violations za human rights WB.
WB wana muakilishi mkazi hapa nchini kazi yake ni ku assess pre conditions zote,na sio kumtegemea Mange
Umesoma na kuelewa nilichokiuliza na kusema? Wapi nimesema violation za human rights?
Na usisahau kujibu kuhusu Seattle.
 
Sioni la Maana Analolitafuta Mda Mwingine tupunguze Ushabiki Magufuli standing for Tz but Mange Standing For Democracy Nchi yetu bado hatuhitaji Aina hyo ya Democracy anayoishupalia
 
Akimaliza World Bank akafanyie mbinguni ,afadhiliwe Kwa hali na mali,
Lazima mfahamu kwamba hata hao wafadhili wenu wanajua support ya watanzania Kwa rais Magufuli ni kubwa sana, ndo maana ni wapole
Huko atakutana na kiongozi wa malaika
 
World Bank ina'survive' kwa kutoa mikopo kwa nchi husika. World bank siyo political body! Mtieni akili. Nilikuwa sahihi kuwatilia mashaka baadhi ya diaspora wetu.
===
Na pia lazima wajue usalama wa pesa zao zitarudije?
Nchi ikiwa haieleweki hawaikopeshi
 
Hahahah maneno ya kujifariji watanzania mafisadi.cha moto mtakiona mlizoea kuibia watanzania ngoma hadi 2027. Na nchi itakuwa imekaa tambarare
Kuiba? Kwani serikali gani ilikuwa imeshika dola? Tangu tupate uhuru watu ni hao hao hakuna mabadiliko yoyote ila sana sana anayekuja amekuwa mwizi kidogo mwingine mwizi sana na mwingine muharibifu hana plani anafanya kazi kama robot ili mradi anonekane ana chapa kazi hata kama mwisho wa siku anaambulia zero lakini ilimradi ni mchapa kazi
 
wale waliokua wakimtumia Yule mgonjwa naona wamehamishia kambi kwake maana strategy ni ile ile..kukata uwezo wa serikali kufanya mambo yake..
Hongera kwa wewe ambae sio mgonjwa ila unakebehi wagonjwa, hawakupenda kuwa wagonjwa na wewe hukuomba uwe mzima. ila kumbuka ipo siku utalala kitandani na uwe mgonjwa wa kudumu kuliko hao unaowakebehi.
 
Dada ngese hili dadeki zake likaandamane vizuri hahahahah sasa ww unataka Tz isipewe mikopo afu unakataa kufanya interview sijaelewa elewa hapo kama unataka hvo basi kubari hzo interview ili utangaze vzr na dunia nzima isikie hahahaha shangingi wa kijerumani wewe....
 
Kama ni wapole mngewaachie waandamane na wao kama walivyoandamana wale mazombi wenye silaha.
Akimaliza World Bank akafanyie mbinguni ,afadhiliwe Kwa hali na mali,
Lazima mfahamu kwamba hata hao wafadhili wenu wanajua support ya watanzania Kwa rais Magufuli ni kubwa sana, ndo maana ni wapole
 
kwa mkakati huu naona kbx anafanikiwa pakubwa na serikali ya JMT itatiwa dowa serikali itanyimwa mikopo
Hivi mkuu unadhani serikali itanyimwa mikopo kwa maandamano ya watu wawili tu ?
Suala la kunyimwa mikopo siyo jepesi kama unavyolifikiria,ni gumu sana kama ilivyokuwa ngumu kumtoa magufuli madarakani kwa maandamano
 
Wewe unaona kuwa ni tukio dogo,huo ni muono wako,lakini dunia inaliangalia hili tukio ni kbwa sana kwa nchi ya amani kama Tanzania,Mkuu umefatilia magazeti ya nchi jirani na nchi rafiki zetu kama Kenya na South Afrika tyameandika nini kuhusu siku ya 26/4..,

Mange kashinda,dada hana hata kilo 60 kaishinda serikali nzima ya Magufuli na vyombo vyake vya usalama,...Aibu kubwa
It is not a big deal hata kama ndivyo wengi walivyotaka......Serikali inaendelea na kazi zake hata hao ambao hawataki Rais Magufuli anavyotenda na hasa kuhakikisha kuwa watanzania wanafanyakazi na suala la starehe kwa viongozi waliokuwa wanatumia rasilimali za nchi vibaya kwa safari za nje hilo hakuna kabisa na ili upate pesa yako lazima ufanye kazi kama ilivyo hata nchi kama Marekani watu wanafanya kazi zaidi ya mbili ili kukidhi huduma za familia.

Hapa Tanzania mtu anamka asubuhi yupo yupo tu hajui hata cha kufanya zaidi ya kuanza kupiga watu mizinga tu wakati kuna mambo mengi ya kufanya.

Akili isiyokutana na changamoto itabaki kuwa mfu tu bila ubunifu wowote ule na wengi wa watanzania.
 
Kafanikiwa sana,International media zote zilikuwa zinaongea maandamano ya Mange,CNN,BBC,Aljazeera nk",International comunity" wameanza kuona na kufahamu nini hasa kinaendelea Tanzania kisiasa,..

Kosa kubwa walilofanya serikali ya Magufuli pale walipotumia nguvu kubwa za polisi na Jeshi ili kuyazuia yale maandamano.,maneno makali ya kutisha raia yalitolewa na baadhi ya viongozi dhidi ya raia,Mkuu International community inaitazama Tanzania kwa jicho jengeni kabisa hivi sasa,.
Inatazama kwa jicho la chini hahahahaha na jicho la KICDM
 
Umenena vema Mkuu! Mange Kimambi kwa kufikiri kwa kina na uwezo wa ubunifu, anawazidi wanaume wengi walioko TZ, wasomi na wasiyo wasomi. Hasa jamaa wanaojinasibu kuwa wasomi wakubwa ndiyo maboya wa kufa Mtu! Mange kawaonesha namna bora ya kuitumia Elimu ktk kuikomboa Nchi na kuupata uhuru wa kweli
 
Kujifariji nacho ni kipaji
FB_IMG_1525072974404.jpg
 
We nawe una akili?
Mwenye akili ni nani?ni huyo juha magufuli anayeua na kupoteza watu? Nini wewe kibaraka wake unayelipwa kwa propaganda za kumtetea huyo shetani magufuli?
Wewe ndo una akili? Mtu anayepeleka jeshi mtaani dhidi ya watu wasio na silaha ndo mwenye akili?
Rudi tumboni mwa mama yako uzaliwe tena ndo utapata ufahamu.
 
Back
Top Bottom