General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
Who behind Mange?Mange Kimambi ni mdada wa mjini, mtoto wa marehemu Jumanne Kimambi alikuwa mfanya biashara mashuhuri miaka ya 90. Mange alipata mchumba mchuma wa kimarekani wakati akiwa anaishi Dubai na alifunga ndoa Dar. Ni mama wa watoto watatu na anaishi Marekani. Amaeachwa na mzungu juzi tu, wino kwenye karatasi ya talaka haujakauka bado.
Ivi izi personal attack si alikuwa anapewa lowasa au ni nin hasa kilichoharibika hapo
Nadhani anamaanisha joti yupo kwenye kundi wale tunaotakiwa kuwa unfollow"Joti ana stress za kukosa kilainishi"
What the hell does she mean?
wewe mbona sisi tunakutoshaa??Ndio maana hajirogi kuanzisha ligi na mm maana huwa sicheleweshi washauli wake endeleeni kumshauli hasije kujiroga
Kwa sheria za mitandao za USA kamwe hawawezi Dada... Mange ni Raia wa USAJamani anaeweza kumuonya yule mtoto wa kike amounye, anakokwenda si kuzuri hata kidogo, hivi hajui kuwa rais Magufuli anaweza kuwasiliana na Interpol, FBI au CIA na akahojiwa?
Ana influence sana katika society ya kibongo, baada ya kuolewa na mzungu, vitoto vya secondary mpaka vyuoni vikaona hayo ndiyo maisha, akaanza hata kuwatafutia madanga ya kizungu mtandaoni. Hii influence yake angeitumia ina a positive way angefika mbali sana.Who behind Mange?
Huyu dada kuna watu wapo nyuma yake, anafanya hivi kama kazi.
Hatujui mkuu, tupe ubuyuu
maaamaaaeeehata Mimi nashangaa mkuu, wakati Mange anamchamba Lowasa na chadema wote , ccm walikuwa wanakenua meno na kumpongeza, kibao kimewageukia ndo wanajifanya eti personal attack.....hahahaha lazima mlinywee
Kwa sheria za mitandao za USA kamwe hawawezi Dada... Mange ni Raia wa USA
She is a cute and bright gal!Nadhani Mange ni smart kuliko tunavyomchukulia, kuna kila dalili anatafuta status ya mkimbizi wa kisiasa marekani baada ya mume wake kumkalia kooni.
penda sana Mange!Mange tayari ana greencard,na talaka haiwezi kumuondolea green card yake
Anamanisha joti hajamiliki papuchi bado"Joti ana stress za kukosa kilainishi"
What the hell does she mean?
Husiombe muulize kwa nini hajirogi anajua huu mziki hauwezi[emoji16]wewe mbona sisi tunakutoshaa??
Sidhani kama mange anafanya hivi kwa matakwa yake, yote anayotupiaa kwenye acc yake anatumiwa na watu ambao wapo humu Tz. Nimekuambia anafanya hivi kama kazi, na wenzetu wapo wanaolipwa kwa kazi kama hizi.Ana influence sana katika society ya kibongo, baada ya kuolewa na mzungu, vitoto vya secondary mpaka vyuoni vikaona hayo ndiyo maisha, akaanza hata kuwatafutia madanga ya kizungu mtandaoni. Hii influence yake angeitumia ina a positive way angefika mbali sana.
clouds media huwa wanajifanya vichwa panzi lakini hakuna anayenyanyua kolomeo lake kumtaja Mange , hata kwenye magazeti uchambuzi wanajifanya kumruka
Kamchafua kisiasa kaona hola.... Sasa kaamua aje kipersonal life..
"Joti ana stress za kukosa kilainishi"
What the hell does she mean?
Anajua siri nyingi sana za serikali, kuna ile moja alipewa US$ 3,000 na Ngeleja ili azime ndoto ya January kuwa waziri wa madini, na alilikisha email ya Mwamy kutoka kwa boss wa Barrick Gold, ile iliwachafua sana Makambaz.Sidhani kama mange anafanya hivi kwa matakwa yake, yote anayotupiaa kwenye acc yake anatumiwa na watu ambao wapo humu Tz. Nimekuambia anafanya hivi kama kazi, na wenzetu wapo wanaolipwa kwa kazi kama hizi.
CCM ilimtumia sana kipindi cha uchaguzi, alipiga ela za kumtukana lowassa.
Nasikia Makamba alimtapeli pesa zake walizokubaliana katika kampeni za uchaguzi , ndio maana akafumua lile bomu la makamba na mtaliano
Ukiona hajakamatwa jua serikali imeshindwaa.Una uhakika ni raia wa USA?
Nenda insta page yake namba zipo hadhadan kabisaa ila angalia na wewe asije akakufumulia yako maana Mange hana mmoja!Mwenye namba ya mange anisaidie ili nimshauri maana kipindi tuko o level alinipenda sana
Hili suala la kushindwa kupata mtoto la Makonda,kama ni kweli.Hili suala lipo beyond his capacity,yeye anakosa gani kutokana na repduction defect yake?Mange amekosea kwa kweli,ila muda wa kuandika yote hayo yeye anautoa wapi jamani?Au mwenzetu anaishi sayari nyingine?