Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,230
- 1,199
Zipo nyingi ikiwepo ya bashite, na hyo uliyitajaNamjua ila simfuatilii na wewe kama mwanaume nakusihi achana na kina Mange. Hebu toa mfano mmoja tu wa story yake yenye mashiko, hivi Ndo huyu alisema Kinana katoka CCM?
Unaipaka matope system kwa mambo ya dhahania.Naona ' njaa ' sasa imeanza kumtafuna huko aliko Los Angels nchini Marekani. Na ni kupitia hizi hizi ' njaa ' zake ndipo atakapowarahishia Kazi ' wanaomsaka ' na yawezekana Yeye anaweza kudhani labda sijui Mume wake kaamua kumpokonya Watoto wake ila kumbe nyuma ya pazia tayari ' Mafia ' wameshafanya yao ni suala la muda tu wanaweza kufanya yao. Dunia ya leo siyo ya ' Kujiamini ' na ' Kuamini ' Watu hivyo na uzuri au ubaya ni kwamba karibia 99% ya wanaofanikisha Wewe kupatwa na ' matatizo / majanga ' ni hao hao Marafiki zako / Watu wako wa karibu unaowaamini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi Mange ni nani? namsikia sikia sana siku hizi
Na wewe unaamini Kinana hayupo tena CCM!! Mbuzi kama nyie Ndo anaowadaka hadi mnamchangiaZipo nyingi ikiwepo ya bashite, na hyo uliyitaja
Lumumba si huwa ni wabish mpka yawafike ndio mnaamini, kama kule arusha mnaongea vitu havieleweki .hahhah et kwenye msiba wawatoto nyie ndio mlikuwa wengi uwanjani hahaha dah mnaleta siasa msibaniNa wewe unaamini Kinana hayupo tena CCM!! Mbuzi kama nyie Ndo anaowadaka hadi mnamchangia
mange kimambi ni mwanadada anayeitolea sirikali povu la maana. kule instagram
Asante kwa taarifa...mange kimambi ni mwanadada anayeitolea sirikali povu la maana. kule instagram
asante kwa kunisikilizaAsante kwa taarifa...
Nakupenda pia
Sijakusikiliza, nimekusoma.asante kwa kunisikiliza
sijakupenda. ila umenipenda.. asante lakiniSijakusikiliza, nimekusoma.
Ahsante kwa kunipenda. Nakupenda pia.
Ahsante kwa kunichukiasijakupenda. ila umenipenda.. asante lakini
Na wewe unaamini Kinana hayupo tena CCM!! Mbuzi kama nyie Ndo anaowadaka hadi mnamchangia
Anaeleweka vizur lakin ukijilazimisha kutokumwelewa hutamwelewa hata iweje huenda kuna ni we au kuna nduguyo anaguswa ktk taarifa zake ndo mana unajilazimisha kutokumwelewaKama zipi hizo sijawahi sikia chochote cha msingi kapatia zaidi ya udaku na umbea na mijitu mijinga inaamini. Mwanaume Lazima uwe chakula kumuelewa huyo demu
Huwa unatumia kiungo gan cha mwil wako kufikiri kabla hujapost kitu ktk Jamii forum?Mange anastahili kunyongwa
Kamaa wewe ulivyo mboga mlendaa Kama (dab)Kama zipi hizo sijawahi sikia chochote cha msingi kapatia zaidi ya udaku na umbea na mijitu mijinga inaamini. Mwanaume Lazima uwe chakula kumuelewa huyo demu
Kasemaa atakae pestisha kwa wingi anamlamba bulokuMtakao jiunga mtupestie huku ili iwe exclusive.