Bado cjaona Ushahid hapo ni Fununu tu, Hivi na mie nikitajwa hapo it means nauza Sembe.? Toa vielelezo na Ushahidi then ripoti Interpol coz tatzo la madawa lina affect Dunia nzima hivyo akiwa na vielelezo juu ya watajwa hapo juu basi upelelezi utaanza kuanzia wanapotoa mzigo ili mizizi ikatwe na sio Propaganda za Kimbea Mbea tu..
Hivi hadi huko Ulaya kuna watu hawanaga kazi kumbe.? [emoji23][emoji23][emoji23] Trump Rudisha hao kubaff sana