Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,326
hana lolote yule mwanga tu na kwa mganga wake mi hajaniroga alinipoteza siku alipomuambia sintah kakopa na kuongelea ugomvi wa shamim na mboni nkajua ana roho mbaya na hapendi watu wamzidi nkaajaua hanifai na wala hafai kua mfano
nimesoma huu umbeya...karibu wote naomba niulize swali kwa, amu... Heaven on Earth.. BADILI TABIA... tAiTIANA,,na wengineo...ni nani kati yenu amewahi kununua hizo wigi iwe kwa Mnugu au kwa Mange?
..na sidhani kama mngeweza kununua hizo wigi kwa Price ya $800-900....

Nyie mange huyu kiboko ndo nini kutufanya wabongo misukule kiasi hiki, mi kila siku naona kwenye insta ana post picha sijui $400 mara shipping cost sijui ,maana hayo mambo wengine hatuyajui sie tushazoea kununua nguo za mia mbili kwenye minada sasa uniambie niagize nguo ulaya wapi na wapi? mmh leo yamemkuta bi mkubwa, yani apo kama namuona anavyotaman kuja bongo aweke mambo sawaa maana bi mama ni mshari haswaa
Shosti hata naelewaga basi... mi daily namuona na mishemishe za mapicha kwenye restaurants tu. Kuna comment nimeona amesema anafanya kwenye healthcare mange aende akapate ajira asampliment kipato cha mzungu na wapunguze madeni
Nilimdharau sana siku alipomtukana Ezden kwenye blog yake infavor of Dida, maneno aloyaandika hayakustahili kuandikwa na mama wa familia tena mke wa mtu, kwa tunaomfahamu Ezden tokea Kiss Fm Mwanza, kaja Dsm kaingia Times Fm na bado kuonesha jinsi gani ni mchapa kazi na anakiu ya mafanikio kaingia TV1.
Licha ya kuwa employee katika izo media firms bado iyo ilikua haimtoshi utamkuta kwenye uMC matamashani na pia studio coz pia ni Raper.
Jamani mpaji ni Mungu, juhudi tunaziona na hata kama Dida alikua na kipato kikubwa zaidi basi si sahihi kumtukana Ezden ni mtu wa kula kulala kuamka na kuoga (KKKK)...Eti Marioo, aliudhi sana.
Kwenye ile topic ndo unajua jinsi gani Mange yupo after money kuna watu walimuuliza je mumewe itokee bahati mbaya hana hela halafu yeye anahela atamkimbia? Hakujibu
Heheeiya unauliza halafu unajijibu mwenyewe..................
kama unadhan hatuwezi kununua unauliza ili iweje?????????????
nimesoma huu umbeya...karibu wote naomba niulize swali kwa, amu... Heaven on Earth.. BADILI TABIA... tAiTIANA,,na wengineo...ni nani kati yenu amewahi kununua hizo wigi iwe kwa Mnugu au kwa Mange?
..na sidhani kama mngeweza kununua hizo wigi kwa Price ya $800-900....
lb anatumia jina gani instagram?
That woman abegooooo...naona BADILI TABIA ni mmoja wa Vijana walotumwa kumtetea kimambi...hehehe mniger hawez lost kwa kukosa order za mange na misukule yake trust me
Muacheni jamani mama shipping cost aka mama madolali, anakwambia watu wanamuonea wivu na biashara yake, yani anavyo post uko insta unaona kabisa jinsi mapovu yalivyomtoka, yani insta yangu imejaa post za mange tu mmh, leo analo na wabongo leo watamkeshea na vigodor, mange kama namuona anavyotaman aje bongo kuchambana vizur
BADILI TABIA huko ig ya tribellawigs inachekesha wabongo wanacoment kiawahili na matusi juu as if mwenyewe anawaelewa.
Looo Dinazarde leo anapitwajeeeee.
Ila bibie kakosea angeomba msamaha kiutuuzima wangeyamaliza yeye kahamia kwa matusi kwa wasiyoyahusu.
Kumbe lb ana beef nae kutokana na kumuibia id ya kazi yake ndo nimesoma leo.
He heheyaaaaaaa
hahahaaaaa mie nacheka zangu tu..............
That woman abegooooo...naona BADILI TABIA ni mmoja wa Vijana walotumwa kumtetea kimambi...hehehe mniger hawez lost kwa kukosa order za mange na misukule yake trust me
nimesoma huu umbeya...karibu wote naomba niulize swali kwa, amu... Heaven on Earth.. BADILI TABIA... tAiTIANA,,na wengineo...ni nani kati yenu amewahi kununua hizo wigi iwe kwa Mnugu au kwa Mange?
..na sidhani kama mngeweza kununua hizo wigi kwa Price ya $800-900....
Nna kipili pili changu natural nimeridhikaaaaa, nywele za marehemu za nini? Nywele zenyewe ndo hizo zinagombaniwa.
poa asante mi mange nlikua namkubali jamani asubuh naamkia kwake ila dah!alivyomzodoaga shamim na kila sku maugomvi na watu baaas,nashukuru mungu leo kapata mjanja wake safi saaaana wamempanga!lb apparel