[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] alikutana na kiboko yke!!!Kumbe jamaa ameshariport Central tayari, do huyu bwana alimpiga Mange vibao pale Dar Free Market mchana kweupe, katika watu ambao Mange hatawasahau ni Abdul Nsembo. Sasa hivi naona atakua anajiburudisha na zile green tea detox alizokua anauziuza.
aaah eeh hyo nsembo, mange alichapwa nusu azimie,cjui kwa nini akumshoot kabisaKumbe jamaa ameshariport Central tayari, do huyu bwana alimpiga Mange vibao pale Dar Free Market mchana kweupe, katika watu ambao Mange hatawasahau ni Abdul Nsembo. Sasa hivi naona atakua anajiburudisha na zile green tea detox alizokua anauziuza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani nimecheka hko insta mange bana,uzuri wke huwa hasahau,yaani hyo jmaa ulimuweza kwli!!Ndio maana anasherekea huko insta,eti anamwambia makonda amvunje, yule mama kweli an kicchaa
Penye ukweli na usemwe tuu jmn mi naona mange xx hvi ypo hot zaidi tofauti na zamani alizid kufeki but now naona yupo natural zaidi!!ni mtazamo tu pa1!![emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]Maisha haya,lazima achanganyikiwe kutoka hapa
View attachment 469211
Hadi kupauka hiviView attachment 469212
Penye ukweli na usemwe tuu jmn mi naona mange xx hvi ypo hot zaidi tofauti na zamani alizid kufeki but now naona yupo natural zaidi!!ni mtazamo tu pa1!![emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
DuuhAcha utani wewe,alipendeza alipokua housegirl wa mwamvitaView attachment 469226
Mkuu hii ya kwako ni funga kazi.Acha utani wewe,alipendeza alipokua housegirl wa mwamvitaView attachment 469226
[emoji13] [emoji57] [emoji57] [emoji15] mange adumu mpk awamu hii ipite....aaah eeh hyo nsembo, mange alichapwa nusu azimie,cjui kwa nini akumshoot kabisa
Baada ya hivi karibuni mume wa blogger maarufu nchini, shamimu mwasha aitwaye abdul (17 kwenye list )kukamatwa kwa tuhuma za madawa ya kulevya, mwanamama huyo ameibuka na kumchana live mwanamke huyo kuwa hakuwahi kumuonea wivu kama ilivyokua ikienezwa na watu bali ni kweli mwanaume hyo anajihusisha na madawa, mange aliendelea kutiririka kuwa mwanaume huyo aliwahi kumtolea bastola mange nje nje na kutaka kumshoot kama akiendelea kumtuhumu na scandal hiyo.
ila Mange naye hueleweki,mara umponde makonda,leo unamsifu na kumuambia amvunje mgongo abdul duh sasa sasa sijui tukueleweje,by the way muache makonda afanye kazi yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani mange ile hatakaa aisahau ht dkk sifuriii ya maisha yakeKumbe jamaa ameshariport Central tayari, do huyu bwana alimpiga Mange vibao pale Dar Free Market mchana kweupe, katika watu ambao Mange hatawasahau ni Abdul Nsembo. Sasa hivi naona atakua anajiburudisha na zile green tea detox alizokua anauziuza.
Ni normal hawezi hata kusema alipigwa vibao kila akilitamka lile tukio anataja pistol.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani mange ile hatakaa aisahau ht dkk sifuriii ya maisha yake