Naibu waziri wa afya Dr. Kigwangala kawasimamisha kazi manesi sita kwa kumlipisha fedha mgonjwa aliyekuwa akitumia kadi ya NHIF. Pia ameagiza vitanda vya watoto kuongezwa kutoka vitanda tisa hadi 25. Kumbe mambo yanawezekana yakisimamiwa kwa umakini. Hongera Dr Kigwa.
Zipo tetesi pia baadhi ya maofisa wa jiji la mwanza wametoweka na baadhi kuzima simu baada ya kusikia waziri mkuu yuko mkoani humo kikazi zaidi.
Zipo tetesi pia baadhi ya maofisa wa jiji la mwanza wametoweka na baadhi kuzima simu baada ya kusikia waziri mkuu yuko mkoani humo kikazi zaidi.