Nasikia kuna mwanamuziki mmoja aliimba wimbo wenye maneno haya:Tembo- neno hili ukilisema hadharani kule Makunduchi, Unguja unaweza kurudi umeroa damau
Lakini kwa namna inavyotamkwa ule 'utusi' unapungua sana...'kaku-maa'Wadau! Kuna kambi moja ya wakimbizi iko Kenya, eebwanae jina lake mazee inaitwa KAK....MA
Sundi(jina la kisukuma)
Kwa wanyarwanda ni uchi wa mwanamke..
Sugu kwa wasukuma ni kinembe.
Nyooo(mshangao)wasukuma ni uchi
Chuga =kwa wahaya utaonekana kituko!
Casino=akina mama wakihaya watafunika nyuso zao
Rutba=Kwa wenzetu wa kanda ya Ngara kigoma watazimia!!
Endeleza na wewe.....
Chuga =kwa wahaya utaonekana kituko!.......Kuduu
Matongo ni jina kwa wanyamwezi ila kwa kingoni ni mbupu
Matongo ni jina kwa wanyamwezi ila kwa kingoni ni mbupu
Mhola sana heheheheE kuchunya angu?