machiaveli JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,336 Reaction score 5,323 Jul 25, 2023 #1 Onyesha,onesha,vyema,vema
karume msaka JF-Expert Member Joined Sep 25, 2018 Posts 418 Reaction score 727 Jul 25, 2023 #2 machiaveli said: Onyesha,onesha,vyema,vema Click to expand... Onesha - macho Onyesha - mtu/vitu
Mahotera JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 761 Reaction score 1,891 Jul 25, 2023 #3 Onesha, asili ona; kuona kwa kutumia macho au kifaa cha kusaidia macho kuona. Onyesha, asili onya; toa onyo, kutoa tahadhari kwa kutumia matamshi, maandishi, alama au ishara. Vyema na vema ni neno moja, lahaja tofauti.
Onesha, asili ona; kuona kwa kutumia macho au kifaa cha kusaidia macho kuona. Onyesha, asili onya; toa onyo, kutoa tahadhari kwa kutumia matamshi, maandishi, alama au ishara. Vyema na vema ni neno moja, lahaja tofauti.
Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,261 Reaction score 18,261 Jul 25, 2023 #4 Mahotera said: Onesha, asili ona; kuona kwa kutumia macho au kifaa cha kusaidia macho kuona. Onyesha, asili onya; toa onyo, kutoa tahadhari kwa kutumia matamshi, maandishi, alama au ishara. Vyema na vema ni neno moja, lahaja tofauti. Click to expand... Umepata, Tuma salamu kwa watu wako watano wa nguvu.
Mahotera said: Onesha, asili ona; kuona kwa kutumia macho au kifaa cha kusaidia macho kuona. Onyesha, asili onya; toa onyo, kutoa tahadhari kwa kutumia matamshi, maandishi, alama au ishara. Vyema na vema ni neno moja, lahaja tofauti. Click to expand... Umepata, Tuma salamu kwa watu wako watano wa nguvu.
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,124 Reaction score 21,835 Jul 25, 2023 #5 Nyingine_kingine_chengine?
Lovebird JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 6,737 Reaction score 10,153 Jul 25, 2023 #6 spidernyoka said: Nyingine_kingine_chengine? Click to expand... Chengine ni lafudhi ya baadhi wapemba huwa hawawezi tamka neno kingine
spidernyoka said: Nyingine_kingine_chengine? Click to expand... Chengine ni lafudhi ya baadhi wapemba huwa hawawezi tamka neno kingine
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,739 Reaction score 76,374 Jul 25, 2023 #7 Onyesha,onesha,vyema,vema Ukitaka usahihi wa neno lolote la kiswahili kwanza kabisa ujue mzizi wa neno, utakwenda vizuri sana
Onyesha,onesha,vyema,vema Ukitaka usahihi wa neno lolote la kiswahili kwanza kabisa ujue mzizi wa neno, utakwenda vizuri sana
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,739 Reaction score 76,374 Jul 25, 2023 #8 spidernyoka said: Nyingine_kingine_chengine? Click to expand... Mfano Nyumba nyingine Kikapu kingine Chandarua chengine
spidernyoka said: Nyingine_kingine_chengine? Click to expand... Mfano Nyumba nyingine Kikapu kingine Chandarua chengine
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,739 Reaction score 76,374 Jul 25, 2023 #9 Lovebird said: Chengine ni lafudhi ya baadhi wapemba huwa hawawezi tamka neno kingine Click to expand... Viambishi vya kwenye neno vinatoa taswira nzima ya neno linapotumika, mfano Che Vye Ki Vi nitofauti na ngeli hapo
Lovebird said: Chengine ni lafudhi ya baadhi wapemba huwa hawawezi tamka neno kingine Click to expand... Viambishi vya kwenye neno vinatoa taswira nzima ya neno linapotumika, mfano Che Vye Ki Vi nitofauti na ngeli hapo