Maneno yanayowakera wanawake!

haya sasa wanaume maneno gani yanawakera wanaume leteni list ya maneno
kuna mdada mmoja alikuwa anaongea na simu kwenye baa anamwambia mwenzake "achana nae huyo mchumba wako mtu mwenyewe mwanaume suruali tu" hilo neno nililiona baya sana kiasi kwamba nilitamani hata kumlarua yule dada ingawa hata sikuwa namjua wala anaeongea nae
 
lkn pia kuna maneno mengine mtu anaongea ukweli wake sema tu mapenzi ni upofu mtu unaona jamaa hakupendi au kesha pata mwingine kuna rafiki yangu aliambiwa hivi"nakupenda sana irene lkn mm bado mambo yangu hajakaa vizuri kukuoa kwa sasa ni ngum,kama utaweza kunivumilia nivumilie tu,nina wadogo zangu nawasomesha lkn kama ukishindwa basi tafuta utaeona anakufaa na uendelee na maisha"that friend alikasirika kufa how could u jugde frm zoz words?jamaa anampena au hampendi?
 
haya sasa wanaume maneno gani yanawakera wanaume leteni list ya maneno
kuna mdada mmoja alikuwa anaongea na simu kwenye baa anamwambia mwenzake "achana nae huyo mchumba wako mtu mwenyewe mwanaume suruali tu" hilo neno nililiona baya sana kiasi kwamba nilitamani hata kumlarua yule dada ingawa hata sikuwa namjua wala anaeongea nae
 
Ndoa ikishafikia mahali ambapo wanandoa wanatukanana matusi ya makuli basi jua hiyo si ndoa bali ni kijiwe tu. Mume au mke anastahili heshima na kuthaminiwa. Huwezi kumuita mke/mume mbwa,, takataka, malaya, huna akili, mpuuzi, njinga, etc halafu utegemee upendo tena. Kumbuka ubongo wa binadamu ni smaku hivyo maneno mabaya huwa hayabanduki kabisa. Tuelewe kuwa matendo mema kwa mwenzako yanahesabika kuwa ni wajibu na unapofanya baya moja tu linakumbukwa kuliko yale mema mengi uliyokwisha fanya. Na baya moja linaweza kufuta yale mema mengi na ndoa ikabakia tu ceremonial. Ndoa inatakiwa kulindwa na kuheshimika. Pia kwa wale wapenzi/wachumba nao hali ni ile ile. Achana na maneno au matendo mabaya kwa mwenza wako. Kidonda chake hakiponi haraka na kovu lake si rahisi sana kufutika hata kama utaomba usamaha. Watch out guys.
 
Back
Top Bottom