tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,216
Nadhan mtoa mada bado anatumia mbinu za zamaniyani sio siri ndugu, ki ukweli nimesahau kutongoza, nakumbuka enzi zile unafukuzia yani mpaka kichwa kinauma, siku hizi ukipata no tu, na ukifanya ayo ya kumjali unakula mzgo tena anakupa wote. sasa nashangaa kuona bado kuna watu wanatongoza na kupewa hayo majibu.