maisha na pesa
Member
- Jul 29, 2014
- 55
- 33
ha ha haaaaa texas tom ni nouma
Hivi siku hizi watu bado wanatongozana "nakupenda"?
Simpo...unanipendea nn? - Napenda jinsi ulivyo.......ntajuaje unanipenda??? - ndo maana nipo hapa....wengine huwaoni?? - wengine upuuzi mtupu hakuna anaekuzidi......akikwambia huna mvuto, we chomoa burungutu mfukoni halafu unarudisha...na akikwambia sitaki muombe contact za rafiki yake

mkuu umetsha
kabolo kadooogokibamia ndio nini