oscar classic
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 732
- 1,326
.
Shule zinafunguliwa lini kwani?1: Tafuta pesa
2:Tafuta pesa
3;Tafuta pesa,Tafuta pesa.
4: Chai,(tapeta))
5: Utoto rahaa sana,
6:Weka picha
7: Una umri gan??
8;mbususu
9;Mbaula
10;kugegeda
Zipo nyingi tu tiririka hapa
Uzi tayar.
😁😁upo mzee wa chura11.Chura ipo?
Nipo mjukuu wangu mwenye guu la Taifa!😁😁upo mzee wa chura
ME huyoWewe ni me au ke..??
Hio kauli ndo ilifanya nipigwe ban hio ya dhehebuShule mnafungua lini ?
Walokole mnasemaje kuhusu hili ?
Tembea na kikopo cha mafuta mfukoni
Kugegeda /gegedo