Maneno yakumwambia anaehisi anakupenda

Maneno yakumwambia anaehisi anakupenda

Kazania shule unataka mpenzi ilihali ugali wa attendance dogo vipi
 
Moyo wangu si jabali umeshindwa kustahamili bora niwe muazi kwako moyoni nakupenda, sikwambii haya mdomoni mwangu tu sababu umejaa moyoni mwangu. Kila nikijizuwia unaichanganya akili yangu naomba uyapokee maombi yangu ili uwe wangu nami niwe wako wa milele.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
ha ha ha ha ha ha aende na kikaratasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom