Maneno ya Mkuu wa kaya ... sio mimi

Tumekusudia Watumishi wa Umma wote wawe hawana Vitambi wala Minyama uzembe kabla ya 2020

Mistari ya Wapiga kura 2020 uwe na Vimbaumbau watupu

JPM ni Tiba tosha ya Cholestral
 
Waswahili ni wepesi wa kuendana na mazingira. Tumesha zoea, tuna kula bia, tunatafuna konyagi na kuhonga michepuko ni kama kawa japo kiwango kimepungua
Ngoja nisiongeze neno, wasije wakasema hii ni I'd yangu nyingine....
 
Tumekusudia Watumishi wa Umma wote wawe hawana Vitambi wala Minyama uzembe kabla ya 2020

Mistari ya Wapiga kura 2020 uwe na Vimbaumbau watupu

JPM ni Tiba tosha ya Cholestral
images-214.jpg

Nikiweka picha, hua sipendi kuongezea neno tafadhali....
 
Mie binafsi msimu huu namshukuru Mungu biashara yangu ya majeneza inaenda vizuri sana mpaka nafikiria kununua japo "kagari" hata kama
kale ka "Mr Bean.
 
Back
Top Bottom