Maneno ya Mhe. Zitto Kabwe juu ya Spika wa Bunge Mhe. Ndugai kuhusu kufikia uwezo wa Sitta

Chadema from 1995-2015=fikra za mabadiliko

Chadema from 2015=comedy Hadi aibu maskini chadema mliuza chama.bavicha mnatumiwa ovyo

Lakini ukweli uko wazi chadema viongozi wake ndo mafisadi wenyewe wazee wastaafu.wengine ma dj wameuzia vijana madawa ya kulevya kwenye club zao.

Wametumia ujanja wa sheria kutetea waizi wa rasilimali..kwa magufuli mtakoma.na bado wale mlioficha hela nje mjiandae.fanyeni maigizo yote lakini keki ya taifa sasa inagawanywa.ile mitandao ya ufisadi chini ya mstaafu ilioutaka urais .imefeli.magabacholi mmefeli.wafanyabiashara magendo mmefeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu fafanua pia kwa upande wa kura. Labda utaeleweka zaidi
 
Kuna watu ukipanga nao kitu cha siri lazima tu atakuja kukuumbua mbele za watu.

Hakuna kitu kizuri kama kuongea kwa mipaka,ona sasa katoboa siri ile siku!
Kuna clip ya TL aliwahi kusema wale wenyeviti wa kamati za bunge ziliteuliwa na mtu tofauti na aliyedhaniwa ni mteuaji. Inaweza kuwa kweli kwa kauli hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto ni mwepesi tu wa kusahau
Zitto amesahau walivyojaribu kumdhalilisha Makinda kisa tu ni Mwanamke
Zitto amesahau kuwa Ndugai ni mjumbe wa kamati kuu ccm,anachofanya lazima kiendane na dira ya mwenyekiti.
Bunge analotaka Zitto halipo popote duniani
Huko kenya huyo mnaemsifia ameapa kuwa akishindwa atamuondoa Rais kwa kutumia wabunge wake
 
Chadema from 1995-2015=fikra za mabadiliko

Chadema from 2015=comedy Hadi aibu maskini chadema mliuza chama.bavicha mnatumiwa ovyo

Lakini ukweli uko wazi chadema viongozi wake ndo mafisadi wenyewe wazee wastaafu.wengine ma dj wameuzia vijana madawa ya kulevya kwenye club zao.

Wametumia ujanja wa sheria kutetea waizi wa rasilimali..kwa magufuli mtakoma.na bado wale mlioficha hela nje mjiandae.fanyeni maigizo yote lakini keki ya taifa sasa inagawanywa.ile mitandao ya ufisadi chini ya mstaafu ilioutaka urais .imefeli.magabacholi mmefeli.wafanyabiashara magendo mmefeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee nae hata aibu huna nawaskitikia sana watakaochukua genes zako.
Sipo chadema ika nakusikitikia sanaaa
Report ya ALMAS +TANZANITE
Wale walotajwa ni chadema?
Daah aseee
 
Back
Top Bottom