Maneno ya Mhe. Zitto Kabwe juu ya Spika wa Bunge Mhe. Ndugai kuhusu kufikia uwezo wa Sitta

Spika ni mwana sisiem. Usisiem ndo unamfanya awe spika na umeshikiliwa na mwenyekiti wa sisiem then what do you expect?
Upinzani wa Tanzania hauna mkakati wowote ndio maana wanabakia kudakia na kuhoji vitu ambavyo vinajulikana dhahiri. Hivi ni kweli walikuwa hawajui kuwa spika wa Bunge letu anafanya kazi chini ya directives za CCM? (soma rais). Mbona hata wakati wa Kikwete haya mambo yalikuwa yanafanyika sana! Huyo Zitto mwenyewe kuna wakati Kikwete alimpigia spika akamwambia amweke kwenye kamati ya bunge!
 
Ndugai bado ule ugonjwa uliosababisha amtwange rungu mpinzani wake haujamtoka,hawezi kufananishwa hata kwa 1% na Zungu seuze Sitta
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Report ya kamati ya bunge madini na almasi,kwanini report hii haikijadiliwa na bunge itoe ili itoe mapendekezo Kwa serikali hatua za kuchukua.kabla ya kuipa serikali sijui sheria inasemaje hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri kuna watu walikuwa wanalindwa. Wale ambao kwa kwa makusudi kabisa report iliamua kutowataja, yawezekana kwa naelekezo toka juu. Wale ambao hawakutajwa lakini kama report hizi zingejadiliwa bungeni wangetajwa na labda kujadiliwa. Wale ambao mamlaka ya mhimili wa serikali, hata kwa sababu binafsi, wameamua kuwa walindwe hata kwa gharama ya kuvunja kanuni.

Hata wajumbe wa kamati husika yawezekana walipata maelekezo stahiki kuhakikisha report yao inakidhi vigezo vya 'aliye juu'!

"The greatness of any nation lies in its fidelity to the constitution and strict adherence to the rule of law and above all respect to God" - CJ David Maraga
 


Kwenye mazishi ya Spika wa Watu Mzee Sitta, Ndugai aliomba afike japo robo ya Sitta. Hajafika hata 10% ya Anna Makinda miaka 2 Sasa


Wakuuu naona koki ya freedom of speech kama imeharibika Hivi!

CHADEMA watatamtetea Zitto let wait and see bellow......

Mzee wa Kongwa analaana ya aliyempiga BAKORA KICHWANI...
 
Kinachomponza Ndugai ni unafiki...
mark7-6.jpg
 
Back
Top Bottom