Maneno ya kuepuka ukipanda DALADALA!

Maneno ya kuepuka ukipanda DALADALA!

mwitaz

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2012
Posts
313
Reaction score
93
*Nitakupa
*Atakupa mbele
*Utapewa nyuma
*Nitakupa nikikaa Vizuri *Ngoja isimame nikupe
*Subiri asimamishe nikupe
*Hivi nilivyokaa
nitakupaje?
*Utapewa tulia
*Nimempa hapa mbele usimpe huko nyuma
*Simamisha hapo mbele
nikupe
* Kwani wataka nikupe
mara ngapi
* Derevaaa simamisha... tupia ingine hapo >>>>
 
Chomeka hapo usiogope! Mpe upenyo huyo.
 
kama vipi dereva mpelekee moto tu huko huko analeta ubishoo kupisha njia
 
Jamaa alikuwa anaomba Msaada pale nguruwe karibu na kituo cha msimbazi mission. Konda anamwambia dereva, 'shusha nguruwe' jamaa akachachamaa nani nguruwe.
 
Jamaa alikuwa anaomba Msaada pale nguruwe karibu na kituo cha msimbazi mission. Konda anamwambia dereva, 'shusha nguruwe' jamaa akachachamaa nani nguruwe.
aiseee....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom