Maneno ya kikubwa

Maneno ya kikubwa

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,951
1. Kitanda hakina kunguni
2. Sijauona mwezi wangu
3. Jamaa yeke ni bushoke

Maneno mengine yapi unayajua?
 
Yule bado mwezi mchanga (bikra),unaona eeh..!!?
 
aishiiiiiiiiiiiiiiiii ivyo ivyo usitoe...............!!!!!!!!!!
 
Natafuta jiko(mke) naomba kuzaliwa kwako(nioe binti yako) kupumua (jamba)
 
Ana mguu wa mtoto, ana...kama anayoosha mkono kumsalimia mtu.
 
utavuna ulicho panda
mwisho wa ubaya ni aibu
 
Ana mkono wa sweta! Hahahaaa hapa namkumbuka Yule sterling wa kibindi GOVINDA
 
1. Kitanda hakina kunguni
2. Sijauona mwezi wangu
3. Jamaa yeke ni bushoke

Maneno mengine yapi unayajua?
kitanda hakizai haramu
ukisusa wenzio wala
jasho la mtu halilambwi
cha kuiba kitamu zaidi
 
1.mama zero njoo chumbani unipatie kiatu changu nivae.
2.mwenzio nataka tena
3.nipe con nilambe
4.ukiona gari imesimama panda haraka.
 
Back
Top Bottom