Maneno ya busara kwa wanaume

Tulikuaa under 18 ni jukumu lao kimazoea na kisheria pia

Baada ya hapo ni jukumu la mwanaume tofauti na mzazi wako
ha ha ha kwa hiyo mume inabidi agaramie ukataji wa viuno;sasa kama viuno havizungushwi ipasavyo
 
Mapenzi na shule havioani.
 
Olewa kabisa na wewe uhudumiwe kama hutaki majukumu.
 
Mwanaume anayejitambua haombwi pesa na mwanamke unakuta anawajibika mwenyewe kimya kimya Mungu akubariki baba..akujaze palipo pungua eeh roho wa bwana akuguse tena unikumbuke..
 
Mwanaume anayejitambua haombwi pesa na mwanamke unakuta anawajibika mwenyewe kimya kimya Mungu akubariki baba..akujaze palipo pungua eeh roho wa bwana akuguse tena unikumbuke..
ha ha ha ha
 
Mungu:adamu utakula kwa jasho na wewe Hawa utazaa kwa uchungu haya nendeni mkaijaze dunia huko
 
Olewa kabisa na wewe uhudumiwe kama hutaki majukumu.
ha ha ha ha wengine kutongoza weusi wanashindwa je kwa weupe wataweza kweli,mbali na lugha,exposure n.k
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…