Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,094
- 62,017
ha ha ha ha sawa mzeeUnazingua dogo
ha ha ha ha tatizo huku ni pasua kichwaHuko ng'ambo ndio wanataka wanaume suruali? Hebu bakini nyumbani pamenoga
Kwa nini mkuuSikazii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko ng'ambo ndio wanataka wanaume suruali? Hebu bakini nyumbani pamenoga
Ukioa ngozi ya kitimoto utapata taabu sana kwa kuishi kwa shinikizo la utamaduni tofauti na wa kwetu.Kwa nini mkuu
ha ha ha mbona umecheka mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuelewa mkuu,changamoto ni tamaduni tuUkioa ngozi ya kitimoto utapata taabu sana kwa kuishi kwa shinikizo la utamaduni tofauti na wa kwetu.
Mfano kuna jamaa mmoja mtanzania alioa mwanamke wa Sweden amezaa nae watoto watatu, wawili wa kiume na mmoja wa kike. Kijana wake wa kiume wa kwanza kuzaliwa ni shoga na mama yake na ndugu wote upande wa mama wanamsapoti ila baba hapendi. Hali hiyo imesababisha ugomvi na mgogoro mkubwa sana katika ndoa yao
ha ha ha hawataki kuambiwa ukweliWanawake ni omba omba sanaà
Na hivi mawigi yanapanda bei mtahama nchiha ha ha ha tatizo huku ni pasua kichwa
ha ha ha ha,ukiangalia asilimia kubwa ya wanaume walio-oa wamechakaa kutoka na majukumu kuwa mazitoimefika mahali wanawake wanazan mausiano ni peshen ya life services..
hapo sasa ndio tatizo,watu watatembea suruali zimechanika matakoniNa hivi mawigi yanapanda bei mtahama nchi
Tunataka tudekezwe...na majukumu yapungueKwani wanaume mnatakaje labda...
Leo semeni vyote mnavyotaka pindi mnapokuwa kwenye mahusiano ili tujuwe.... Tu mechoka ngonjera zenu