Maneno ya busara kutoka kwa Zitto Kabwe

kilokiki

JF-Expert Member
May 3, 2016
1,374
2,837
Pamoja na kukupa muda ufanye maamuzi kuhusu mambo haya ya TEGETA Escrow, ndg. Rais tunakupongeza sana Kwa kutimiza ahadi yako ya kuleta ndege Kwa ajili ya ATCL. Licha ya kwamba wengine tuna mashaka na bei za ndege hizo, lakini angalau kuna hatua tumepiga. Sisi tunaotoka Kigoma Kwa kweli gharama zitapungua kwani uchache wa ndege unasababisha bei kuwa kubwa sana.

Pia tunakupongeza Kwa kuwezesha kununua mabehewa mapya ya Gari Moshi kwenda Kigoma/Mwanza. Hizi sio hatua za kubeza kwani zitasaidia sana Wananchi kwenye usafiri. Ndugu Rais tunashukuru sana na ninakupongeza Kwa juhudi hizi mahususi.

Hata hivyo tutaendelea kufuatilia Kwa kuchunguza manunuzi haya kwani ndio Kazi yetu Sisi wengine ' kuisimamia Serikali '. Tukikukosoa usikasirike kwani hakuna uzalendo uliyo bora zaidi ya kuikosoa Serikali.

Kudos Kwa ndege na mabehewa. Kazi iendelee
By zitto
 
Zitto deal la Tegeta Escrow hakupata mgao ndio maana anakomalia sana...Kwenye mikataba mibovu ya madini alipata mgao ndio maana yuko kimya...Lile gorofa lake pale Dodoma limemshinda kumaliza pesa za ufisadi zimekwisha
 
Mkuu jadili bandiko hili
 
Kumkosoa au kumsifia Rais sio uhaini.....penye ukweli pasemwe na penye upungufu pia pasemwe........tumekusikia zitto na binafsi naunga mkono na pongezi kwa Mh.Rais juu ya ujio wa hiyo ndege.
 
Pamoja na kukupa muda ufanye maamuzi kuhusu mambo haya ya TEGETA Escrow, ndg. Rais tunakupongeza sana Kwa kutimiza ahadi yako ya kuleta ndege Kwa ajili ya ATCL. Licha ya kwamba wengine tuna mashaka na bei za ndege hizo, lakini angalau kuna hatua tumepiga. Sisi tunaotoka Kigoma Kwa kweli gharama zitapungua kwani uchache wa ndege unasababisha bei kuwa kubwa sana.

Pia tunakupongeza Kwa kuwezesha kununua mabehewa mapya ya Gari Moshi kwenda Kigoma/Mwanza. Hizi sio hatua za kubeza kwani zitasaidia sana Wananchi kwenye usafiri. Ndugu Rais tunashukuru sana na ninakupongeza Kwa juhudi hizi mahususi.

Hata hivyo tutaendelea kufuatilia Kwa kuchunguza manunuzi haya kwani ndio Kazi yetu Sisi wengine ' kuisimamia Serikali '. Tukikukosoa usikasirike kwani hakuna uzalendo uliyo bora zaidi ya kuikosoa Serikali.

Kudos Kwa ndege na mabehewa. Kazi iendelee
By zitto
Tatizo la zito haaminiki wakati wote
 
Zitto ni kiongozi makini, anayepinga hili akatazwi but the truth is there to remain.......ZITTO NI KIONGOZI MAKINI.
 
Back
Top Bottom