ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,691
- 57,144
Kukathibisha na kuthikirisha maana yake nnAinisha nije kumaliza kazi yangu.
Kukathibisha na kuthikirisha maana yake nnAinisha nije kumaliza kazi yangu.
Jaribu kuandika vizuri haya maneno, sababu hayapo.Kukathibisha na kuthikirisha maana yake nn
Lazma nae alicheka kmmmke😂😂😂 thats a naked lie!(3) Sijawahi kuku cheat na haitaweza kutokea kamwe
Nilishawahi kuambiwa hivi alafu kibaya mbele yake nikaangua kicheko kikubwa mpaka na yeye akacheka nikamwambie hapo ulipofika usiendelee tena kuongea inatosha
Sababu ni nyingi....ila zinapungua ikibakia moja....utajuaTatizo unakaba sana, na Talaka sitoi.
Mbona huombi sasa, nakua huwezi kuomba Talaka. Kwa sababu.....
Ndio mkuu naomba maelezo ya hayo manenoJaribu kuandika vizuri haya maneno, sababu hayapo.
Labda kama umekusudia kuandika "Kukadhibisha" na "Kukithirisha".
Nawewe ukamuamini huyo tapeli 😂Niliwahi kuambia "wewe ndio mwanaume ninae kupenda hakuna mwingine kwa kila kitu unaniweza unanihandle bila shida yoyote nakuita wewe ni shujaa wangu " kumbe mbu wan'gataa😂😂😂😂 hawa viumbe
Nilimwamini sana kila kitu changu kikawa chake dah! Alichonifanyia ningekuwa na bastola ningempiga kichwaniNawewe ukamuamini huyo tapeli 😂
Hahahahha usirudie tena huo ujinga, mie kama bro ntakuchapa viboko😂😂Nilimwamini sana kila kitu changu kikawa chake dah! Alichonifanyia ningekuwa na bastola ningempiga kichwani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣(3) Sijawahi kuku cheat na haitaweza kutokea kamwe
Nilishawahi kuambiwa hivi alafu kibaya mbele yake nikaangua kicheko kikubwa mpaka na yeye akacheka nikamwambie hapo ulipofika usiendelee tena kuongea inatosha
Bro sirudii tena huu ujinga.unaweza mpenda mtu ukampa thamani kubwa katika maisha yako lakini siku akaja kukuacha inauma sana usipokuwa makini unaweza jikuta upo segerea umeshika bakuli la ugali maharage😂😂😂😂😂Hahahahha usirudie tena huo ujinga, mie kama bro ntakuchapa viboko😂😂
HeheheheBro sirudii tena huu ujinga.unaweza mpenda mtu ukampa thamani kubwa katika maisha yako lakini siku akaja kukuacha inauma sana usipokuwa makini unaweza jikuta upo segerea umeshika bakuli la ugali maharage😂😂😂😂😂
Sawa, nasubiri uombe.Sababu ni nyingi....ila zinapungua ikibakia moja....utajua
Kukadhibisha kama kuzikataa, yaani unaweza ukawa unamuhudumia kila kitu, unamuingilia vizuri kabisa na lakini ukigombana nae tu kitu fulani, anaweza kukukwambia "Hivi katika wanaume na wewe ni mwanaume" au akakwambia "Kwanza huna msaada wowote kwangu".Ndio mkuu naomba maelezo ya hayo maneno