Maneno tu, mtu anasaula mwenyewe!

Wanawake wote niliowaangusha sijatumia maneno mengi ila huwa nawapiga denda moja kali matata anajikuta anasaula mwenyewe tu
 
Nadhani mimi nina uwezo wa pekee, kwani nimejaaliwa uwezo wa kumshawishi mwanaume yeyote na akafungua pochi yake bila shuruti wala mtutu wa bunduki. Hebu na wanaume watuambie kiwango cha alcohol ya maneno toka kwa mwanamke ambacho kinamfanya afungue pochi wakati familia yake au wazazi wake wanakufa njaa.
 
nikiona wallet yako imevimda najikuta nipo mtupu, wakati wa shughuli nakuwa nahamishia kwenye pochi yangu lol
 
Nitasaula ikiwa nina feelings na jamaa, maneno yake yanakuwa kama vile ni nyongezo. Lakini kama sikufeel hata upige tarumbeta, wewe haujawahi kusikia kuna watu wanabaka....kwanini hapa maneno yasiweze kusaidia?

madam mi niko na wewe kama sina hisia na mtu siwezi kufanya hiko kitu kabisaa yaani kwanza naona kinyaa lakin yule nnae mpenda najihisi raha kuwa nae..hii ndio power of love
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…