Ha,ha,ha,ha,haaaa sweetie si uwaambie zile vesi zilivyokuchanganya mpaka ukasema plz twende ukanipe....Lol!
Ukumbuke kuwa waweza mpenda mtu kwa mistari yake pia! Shangaa wasanii wanavyovuruga mitaani!.Nikopenda mwenyewe sihitaji maneno na ninaweza kuyatoa hayo maneno mwenyewe na mwanaume akasaula hata kama ni Mkuu wa majeshi.
Nisipokupenda hata uumpe mistari diamond, sivui hata Miwani ya jua usiku!
Mi nataka unifeel tione kama utasaula..tehetehee..Nitasaula ikiwa nina feelings na jamaa, maneno yake yanakuwa kama vile ni nyongezo. Lakini kama sikufeel hata upige tarumbeta, wewe haujawahi kusikia kuna watu wanabaka....kwanini hapa maneno yasiweze kusaidia?
Nikopenda mwenyewe sihitaji maneno na ninaweza kuyatoa hayo maneno mwenyewe na mwanaume akasaula hata kama ni Mkuu wa majeshi.
Nisipokupenda hata uumpe mistari diamond, sivui hata Miwani ya jua usiku!
Katika mambo ambayo Mwanaume kajaaliwa ni vile kuwa na uwezo wa kumshawishi mwanamke hadi akakubali kusaula kila alicho kivaa na kubaki mtupu!hata kama msichana ana aibu au ana cheo kikubwaaa, akipigwa yale maneno atatoa tu na kuanza kujifunika ngumi wakati ametoa mwenyewe!
Hebu we mdada tuambie kiwango cha alcohol ya maneno ya wanaume ambacho kinacho wafanya muanze kutoa nguo bila hata kushikiwa mtutu wa bunduki,tena mnatoa zote na kujikabidhi kwa mwanaume huku mkiwa na sura ya kihurumahuruma !Kinadada hebu tuambieni baadhi ya maneno mliyo ambiwa na muwapendao hadi yaka wavulisha nguo ilihali mnaakili timamu.
Mwanaume unakumbuka maneno gani ulimwambia yule binti hadi akapoteza aibu kuu na kuanza kusaura?mwaga jamvini!
alisema'kila nikikuwaza namaliza kichane cha ndizi'
Nikopenda mwenyewe sihitaji maneno na ninaweza kuyatoa hayo maneno mwenyewe na mwanaume akasaula hata kama ni Mkuu wa majeshi.
Nisipokupenda hata uumpe mistari diamond, sivui hata Miwani ya jua usiku!
akikuvulia nguo maana yake na yeye anataka starehe kama wewe ulivyomtongoza ili upate starehe........
kwa ufupi jinsia hizi zinahitajiana ili kukidhi haja za mwili haina uhusiano na utimamu wa akili.....au lengo la kutongozana ni nini? kama sio kuvuliana na kupeana utamu?