Maneno mazito ya Mtatiro kwa Prof. Lipumba

Maneno mazito ya Mtatiro kwa Prof. Lipumba

Le prof.... Lazima kuna mchezo wa meupanga nyuma ya pazia

CUF should watch out of this man
 
Ila LIPUMBA kanifurahisha sana jana

Lipumba ni askari aliuejifanya amekufa vitani. Baada ya askari mwingine kupewa bunduki yake ujasiri ukamtoka imebidi aombe msaada wa kupewa bunduki hata gobore maana amejikuta ameachwa nyuma peke yake naaskari wengine wamesonga mbele kwa mapambano.
 
Na hao ndio wenye bendi wengine wooote wacheza shoo, wakiamua sasa wanapiga sebene Mtatiro and etal ni kunengua tu. Hiko chama bila Seif na Lipumba lazima kiyumbe.
Kwani tangu Le professor alipong'atuka mwaka Jana chama cha CUF kiliyumba??Hakuna kipindi CUF imekuwa kama kipindi cha baada ya le professor kung'atuka.
 
Kama kuna watu nimewadharau ni lipumba. Bora angebaki na msimo wake tungebak na sintofaham kwamba labda ana hoja. Lakn kwa hili anakili yeye ndio alikosea ni kama anaomba msamaha kijanja . Chama kimeshinda . Kumkubalia au kumkatalia kwa ujumla ni ushind kwa chama
 
Kwani tangu Le professor alipong'atuka mwaka Jana chama cha cuf kiliyumba??Hakuna kipindi cuf imekuwa kama kipindi cha baada ya le professor kung'atuka.

Wakati mmekiteka na sasa hivi wabunge wao mmewatoa bungeni nyie mmekimbilia kanda ya Ziwa kuleta fujo wenzenu wanabung'aa tu nje ya bunge. Yaani wakati huu mnawatumia sana kufanikisha mambo yenu kuliko wakati wowote.
 
Kweli wasomi wa TZ njaa ya tumbo inawaaibisha sana, sijui kwa nini! Yeye kasema ametengua barua yake ya kujiuzulu uenyekiti, Mimi napendekeza kuwa chama Kisitengue hili ombi lake la kujiuzulu alilolitoa mwaka jana hadi aeleze watu kinagaubaga wakati anatoa ombi lake la kujiuzulu kulikuwa na kitu gani kikubwa kilichomsibu? Yani ni na hasira hapa basi tu naogopa sheria ya makosa ya mtandaoni lakini ningeandika mambo makubwa makubwa humu.
Kama una mil7 andika tu.
 
CHADEMA waanze kujitayarisha kupambana na makombora kutoka kwa Lipumba endapo atarudishiwa umwenyekiti!!
 
Prof Lipumba amekosa msimamo,sitaki,nataka!kama mtoto vile.Namuona kama mtu aliyejiteua kuleta mgogoro ndani ya CUF
 
Prof Lipumba amekosa msimamo,sitaki,nataka!kama mtoto vile.Namuona kama mtu aliyejiteua kuleta mgogoro ndani ya CUF
Huo ndio ukweli mtupu. Hali halisi ipo kwamba CUF wakati wa Lipumba ilikuwa na wabunge wangapi? Sasa ina wabunge na madiwani wangapi? Mfano ni Tanga.
 
NINAPO TAFAKARI JUU YA HAWA WANAOITWA WASOMI TENA WENYE PHD,NAMKUMBUKA YULE MSOMI ALIYEKUWA MKUU WA MKOA'NIMEKOSA MIMI,....NIMEKOSA SANA.....NITAENDA WAPI'.NI DHAHIRI USOMI WAO HAUKUWAHI KUWAONGOA
 
Back
Top Bottom