Anthony Threedeyea
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 471
- 48
Wengine huskia maumivu hasa penis inapokuwa inafika au inakaribia kugusa shingo la kizazi maana wengine wana uke mfupi. Suala la kuchoka hilo hutokea si kwa wote lakin. Mwingine akishakojoa mara moja huwa hajiskii kuendelea na gemu mpaka mpumzike kwanza. Sasa ukiendeleq ndio anakwambia nimechoka ili mpumzike then muendelee baadae kidogo