Maneno makali sana haya

Moyo koma, mjini kuna vya wawili.

Mjini kumbe kuna vya wawili, aisee
 
"mjini kuna vya watu. lakini usikate tamaa utapata vya kwako".
 
Namuwazia jamaa yaliyomfika mpaka akaukemea moyo wake. Yaonesha yalikuwa mazito tena kaponea chupi chupi.
 
Mmmh mshana jr acha fix....shimo la tewa mi gereza lipo mombasa, kenya.

Haya nimeacha Jaslaws una bei gani?
Lakini si unajua tewa ni aina ya ndege? Na gereza ni sawa na kifo? Hilo jina la hilo gereza limetokana na maana hiyo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…