Maneno laini, kumbatio na kiss napenda mno


Hii ndio classic beta male behaviour!

Beta males are women essentially!

Alpha males kwa mikato hiyo ya love making hawapo...

That kind of love wanapewa wanawake sio wanaume...This confusion unayotema hapa is really beyond me!
 
Ni hatari sana yule jembe ndio maana nikachukua jina lile. Mi namkubali sana kwenye The whiff of money.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawasawa kabisa mkuu, kitabu cha tatu wanachokutana Mark Girland na Malik ni The whiff of money. Nadhani ndio pale Malik anapomwambia Mark kwamba "the next time we meet I will buy you a drink"

Ni siku nyingi kiasi toka nilipovisoma na kimoja wapo katika hivyo vitatu setting yake ilikua Africa Magharibi katika nchi ya Senegal ambapo jamaa hawa mmoja CIA na mwingine KGB walipokua wanatoana jasho
 
Reactions: Cyb
Kabsa icho anachomwambia ivyo n have this one on me. Na icho cha Senegal n this is for real.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…