Maneno 'kuntu'.

In all these quotes, Chinua Achebe never dissapoints.

The worst quote? Kagame. We ALL know he never does what he purports. Unless this quote was mistakenly attributed to him.
 
View attachment 465514
Father of the national alionya pia ya kwamba yeye sio Malaika ni Bin Adam hivyo tuige yale mazuri yake na mabaya tuyaache kwa masikitiko na mshangao anaona ma~ccm wakiiga mabaya na kuyatupilia mbali yale mazuri na ya kheri.
Huyu mzee angekuwa hai hii awamu angelikuwa mchochezi namba moja
 
Nafikiri wale wa zamani walikuwa na philosophical mind, walimaanisha walichokisema na sio hawa wa kipindi hiki. Kizazi hiki cha kina Mseveni na kile cha kina Nkrumah ni kama mbingu na ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…