Maneno hayavunji mfupa tofauti ya matibabu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,838
Reaction score
15,632
Ni kama wanavyosema katiba itasaidia wote CCM

10441183_10202016272128605_163481329535671041_n.jpg
 
nasikia rais mmoja ni sawa na watza 1000
 
Operation kama hiyo inaweza ikawa na gharama $100,000 mpaka $200,000. Kitu ambacho Watanzania wengi hawaelewi ni kwamba uraia unasaidia vitu kama hivi kama unaishi US mfano na ukafanya operation kama hii na hauna bima kwasababu ya kukosa vibali vya kuishi je ni watu wangapi wataweza kulipa hizo pesa. Ukiwa na bima hii operation ita cost sio zaidi ya $1,000 kutoka mfukoni
 
Nilikuwa sijui kama siasa safi na uongozi bora ni kigezo cha maendeleo! Hao hao waliorundikana wodini kama yatima kwa taifa lao ndio hao wanakuwa wa kwanza kushabikia siasa hizi mbofu mbofu na kuipigia kura ya ndio katiba iliyopendekezwa ya ccm!
 
kweli kabisa kelele za mkojo hazivunji choo
 
Rais wetu ni masikini sana,kuliko hata Mujica wa Uruguay
na ni mzalendo nambari moja.
 
Hiyo siyo picha ya enzi za Utawala wa JK, muwe mnatuwekea na tarehe ambayo picha ilichukuliwa ili tuwakamate vizuri.
 
Nilikuwa sijui kama siasa safi na uongozi bora ni kigezo cha maendeleo! Hao hao waliorundikana wodini kama yatima kwa taifa lao ndio hao wanakuwa wa kwanza kushabikia siasa hizi mbofu mbofu na kuipigia kura ya ndio katiba iliyopendekezwa ya ccm!

Hiyo picha ya lini mkuu, halafu ni ya wapi? isije ikawa mnatuwekea picha BURUNDI, Wodi zetu za Wazazi ziko poa sana hivi sasa.
 
Nyie mbona hamuendi kutibiwa hapo walipojazana watu kuonyesha uzalendo! He is the President
 
Hiyo siyo picha ya enzi za Utawala wa JK, muwe mnatuwekea na tarehe ambayo picha ilichukuliwa ili tuwakamate vizuri.

kaka we mwenzetu unatibiwa hospital zipi? huna haja ya kuhoji saana, funga safari nenda temeke mda Hui au amana ama mwananyamara. Ndo utaona nchi hii ilivyo mbovu.
 
Hiyo siyo picha ya enzi za Utawala wa JK, muwe mnatuwekea na tarehe ambayo picha ilichukuliwa ili tuwakamate vizuri.

wapu.mbavu kama wewe hata kama utawekewa tarehe na saa hamuwezi kuelewa,uzuzu wa kushabkia ccm umewafanya kuwa matahira wa kisiasa.
 
Hiyo siyo picha ya enzi za Utawala wa JK, muwe mnatuwekea na tarehe ambayo picha ilichukuliwa ili tuwakamate vizuri.

Wewe utafikiri unatetea chama chako lkn kumbe ndio kwanza unachochea moto, pasingekuwepo na watu wa dizaini yako raia wasingekuwa motivated kutaka mabadiliko, so go on n play your part dont stop.
 
Hiyo picha ya lini mkuu, halafu ni ya wapi? isije ikawa mnatuwekea picha BURUNDI, Wodi zetu za Wazazi ziko poa sana hivi sasa.

Wewe umesha fika wodi ya wazazi au unaongea tu,kwani leo umepewa sh. ngapi
 
Wewe utafikiri unatetea chama chako lkn kumbe ndio kwanza unachochea moto, pasingekuwepo na watu wa dizaini yako raia wasingekuwa motivated kutaka mabadiliko, so go on n play your part dont stop.

Hajielewi hata kidogo,muda wote anawaza ccm
 
Back
Top Bottom