Nitamuuliza kwa hali ya kawaida tu, sipendi ugomvi wala kumkwaza mwenzangu!
Hivi mkeo akishika cmu yko si ataomba talaka,achana na hivyo vitu vidogo.
Nitamuuliza kwa hali ya kawaida tu, sipendi ugomvi wala kumkwaza mwenzangu!
ujinga huu simu ya mke wako inakuhusu nini?
Unatumia nguvu nyingi kuisaka pressure!!!Nitamuuliza kwa hali ya kawaida tu, sipendi ugomvi wala kumkwaza mwenzangu!
like like like
kizuri kula na mwenzako
Naww unafanya hivyo?...unajua ukishakuwa katika mahusiano kitu muhimu ni kujitunza ww mwnyw kama mwenzio anafanya upuuzi haina haja ya kulipa kisasi.
kwa hiyo hata kama anapakuliwa nje, unaendelea kuvumilia tu!
aisee mi mapenz nayaheshimu. nlishatendwa mpaka nikahisi dunia inanielemea. bora kuwa bachelor, this time ni stress aisee
yani wewe siyo mzima kwahiyo ukimuuliza ndio atakwambia ndiyo jamaa huwa anakula mzigo?
hapa ni bora nijiunge na team ya King'asti lete laki tano nikuletee print out ya msg zote za mke wako ili upasuke vizuri usipate tabu ya kumuulizs.
ujinga huu simu ya mke wako inakuhusu nini?