Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,453
Kama Mungu sie anayekileta kifo ina maana Shetani ana mamlaka makubwa kuliko Mungu? yaani kama Shetani anaweza kuua basi na kuumba pia anaweza? nilijua Shetani na yeye kaumbwa na Mungu.
Wanaposema hayo maneno me najua sababu Mungu amekuleta basi yeye ndie anayekuchukua na sio vinginevyo.
Wanaposema hayo maneno me najua sababu Mungu amekuleta basi yeye ndie anayekuchukua na sio vinginevyo.