Haya sasa kashinda, ila wakenya wametokea kumkubali mandonga kuliko wabongo, nahisi wanyonyi alipewa mpunga na kina Jalango ili apoteze, maana KO gani ile alafu kuanzia round ya pili jamaa alikuwa harushi ngumi anamsubiri mandonga amgonge tu