FourTwoNet JF-Expert Member Joined Aug 4, 2022 Posts 1,403 Reaction score 2,749 Aug 22, 2022 #1 Ukitaka kuona maajabu ya Mandonga mtu-kazi, soma uzi huu. Kisha kama una taarifa zake, weka maajabu yake hapa!!! Attachments FB_IMG_1659694746682.jpg 33.7 KB · Views: 29
Ukitaka kuona maajabu ya Mandonga mtu-kazi, soma uzi huu. Kisha kama una taarifa zake, weka maajabu yake hapa!!!
FourTwoNet JF-Expert Member Joined Aug 4, 2022 Posts 1,403 Reaction score 2,749 Aug 22, 2022 Thread starter #2 Mandonga anaweza kubeba gari, akiwa ndani ya hiyo gari!!!
FourTwoNet JF-Expert Member Joined Aug 4, 2022 Posts 1,403 Reaction score 2,749 Aug 22, 2022 Thread starter #3 Mandonga alipodai mshahara wake, tozo zilianzishwa!!!!
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,542 Reaction score 23,856 Aug 22, 2022 #4 FourTwoNet said: Mandonga aliwahi kushinda pambano la ngumi, huku mikono yake yote ikiwa imefungwa nyuma ya mgongo. Click to expand... Nyuma ya mgongo Ni wapi
FourTwoNet said: Mandonga aliwahi kushinda pambano la ngumi, huku mikono yake yote ikiwa imefungwa nyuma ya mgongo. Click to expand... Nyuma ya mgongo Ni wapi
EEX JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 4,132 Reaction score 13,382 Aug 22, 2022 #5 FourTwoNet said: Mandonga anaweza kubeba gari, akiwa ndani ya hiyo gari!!! Click to expand... Mandonga anaweza kuisukuma gari akiwa ndani ya hiyo gari.
FourTwoNet said: Mandonga anaweza kubeba gari, akiwa ndani ya hiyo gari!!! Click to expand... Mandonga anaweza kuisukuma gari akiwa ndani ya hiyo gari.
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,187 Reaction score 48,705 Aug 22, 2022 #6 Kishamtandika mtu jana mapema
Jaby'z JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 4,318 Reaction score 7,655 Aug 22, 2022 #7 Mandonga anaweza kukata mbuyu na kiwembe kimoja cha Topaz.
ujoka JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 5,011 Reaction score 11,806 Aug 22, 2022 #8 Mandonga alipofika umri wakujitegemea wazaz walihama nyumbani kwenda kuanza maisha
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 28,749 Reaction score 91,825 Aug 22, 2022 #9 Mandonga wakati anasoma shule, akichelewa shule, walimu walimuomba Samahani Kwa wao kuwahi shule kabla yake.
Mandonga wakati anasoma shule, akichelewa shule, walimu walimuomba Samahani Kwa wao kuwahi shule kabla yake.
Theb JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 3,927 Reaction score 7,285 Aug 22, 2022 #10 Mandonga anaweza kula chakula kikiwa kinachemka jikoni moja kwa moja
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 28,749 Reaction score 91,825 Aug 22, 2022 #11 Mandonga alipojiunga FB, FB ilibidi ikubaliane na vigezo na mashariti vya Mandonga.
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 28,749 Reaction score 91,825 Aug 22, 2022 #12 Inasemekana Mandonga alivyozaliwa tu, aliwapiga Madaktari makofi Kwa kutokulia alipozaliwa
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 28,749 Reaction score 91,825 Aug 22, 2022 #13 Mandonga akipiga chafya badala ya kufanya contamination yeye hufanya disinfection
EEX JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 4,132 Reaction score 13,382 Aug 22, 2022 #14 Mandonga juisi zote haziwezi yeye anaweza juisi ya pilipili kichaa tu.What a man.
Theb JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 3,927 Reaction score 7,285 Aug 23, 2022 #15 FourTwoNet said: Unaambiwa, Mandonga huwa anameza majani ya chai, sukari kavu, kisha anakunywa maji baridi. Chai inaivia tumboni. Click to expand... Huyo Mandonga unambiwa... Hana haja y kutumia kiberiti kuwashia moto, yeye anasugua mikono yake cheche zinatoka moto unakolea. Daadeki mwite mandonga
FourTwoNet said: Unaambiwa, Mandonga huwa anameza majani ya chai, sukari kavu, kisha anakunywa maji baridi. Chai inaivia tumboni. Click to expand... Huyo Mandonga unambiwa... Hana haja y kutumia kiberiti kuwashia moto, yeye anasugua mikono yake cheche zinatoka moto unakolea. Daadeki mwite mandonga
FourTwoNet JF-Expert Member Joined Aug 4, 2022 Posts 1,403 Reaction score 2,749 Aug 23, 2022 Thread starter #16 Jaby'z said: Mandonga anaweza kukata mbuyu na kiwembe kimoja cha Topaz. Click to expand... Na kuna wakati, Mandonga aliwahi kumpiga ngumi punda, jamii ya twiga ikaanzia hapo!!
Jaby'z said: Mandonga anaweza kukata mbuyu na kiwembe kimoja cha Topaz. Click to expand... Na kuna wakati, Mandonga aliwahi kumpiga ngumi punda, jamii ya twiga ikaanzia hapo!!
A Aneel munawar JF-Expert Member Joined Aug 1, 2017 Posts 4,862 Reaction score 8,511 Aug 23, 2022 #17 Graham bell alipogundua simu,mandonga alikua mtu wa kwanza kumpigia
Theb JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 3,927 Reaction score 7,285 Aug 23, 2022 #18 FourTwoNet said: Mtu kazi mwenyewe, yani, Mandonga anaweza kupiga tarumbeta kwa kutumia guitar. Click to expand... Huyo mandonga Kitasa cha mlangoni anapuliza tu phuuu huyooo anapita zake
FourTwoNet said: Mtu kazi mwenyewe, yani, Mandonga anaweza kupiga tarumbeta kwa kutumia guitar. Click to expand... Huyo mandonga Kitasa cha mlangoni anapuliza tu phuuu huyooo anapita zake
A aker2011 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2015 Posts 985 Reaction score 1,548 Aug 23, 2022 #19 Hua nakumbuka kauli yake ya mtubwi wa vibwengo hua auvushi watu😂😂
Theb JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 3,927 Reaction score 7,285 Aug 23, 2022 #20 aker2011 said: Hua nakumbuka kauli yake ya mtubwi wa vibwengo hua auvushi watu😂😂 Click to expand... Afu akaupanda yeye yeye
aker2011 said: Hua nakumbuka kauli yake ya mtubwi wa vibwengo hua auvushi watu😂😂 Click to expand... Afu akaupanda yeye yeye