Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Anaye pigwa pia hupata HelaHuu ni ushauri kwenda kwa Mamlaka zinazosimamia mchezo wa Ngumi , huyu jamaa hana uwezo wa kupigana , anasukumwa na usela tu , ngumi ni mchezo wa hatari sana kwa afya ya mtu , unaweza kusababisha kifo .
Mandonga anazipenda sana ngumi ila hana uwezo , AZUILIWE KUINGIA ULINGONI KWA MANUFAA YAKE NA FAMILIA YAKE
Food for war