Mandojo na Domo Kaya

Wakuu!hawa jamaa wapo tena muda c mrefu domo kaya ataachia ngoma mpya..
 
Mara ya mwisho nilisikia wanabugia mapouda hatari

Wanavuta bangi saaaaana hata kabla ya kuwa wanamziki....man dojo ni mvutaji mzuri wa kaya sema mstaarabu...domo kaya yeye ni bangi na fujo anazipenda....nawafaham fika toka kitambo...ila now nasikia wako kariakoo kupambana na maisha.
 
Wako kko mtaa wa kongo karibu na ddc, wanauza viatu vya kike jumla na rejareja,viatu vya hali ya juu. Wako vizuri sana,wanaenda hadi china kufunga mzigo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom