Mandela: RSA somo kwa Rwanda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mandela: RSA somo kwa Rwanda?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RUTAJUMBUKIRWA, Feb 12, 2010.

 1. RUTAJUMBUKIRWA

  RUTAJUMBUKIRWA Senior Member

  #1
  Feb 12, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wana JF,
  Jana nilisikiliza BBC kipindi kuhusu Nelson Mandela kuwasamehe his tormentors. South Africa ni kama uhasama umeisha licha ya Shapville massacres, kufungwa kwa Mandela and co. na assasinations na ubaguzi mwingi.
  Je, majirani zetu Rwanda wanaweza kutumia huu mfano?
  Ukweli kuhusu Rwanda:
  1. Mwaka 1994 Paul Kagame aliitungua ndege ya rais habyarimana
  2. Huyu Habyarimana alikuwa criminal, ali train militia, akanunua mapanga, akaanzisha media za kuchochea genocide ready for the work.
  3. Filimbili ilipolia, radio RTLM ina mobilise wahutu wakashika mapanga waka destroy tutsi population. Na RPF ilipokuwa inapita ikikuta wahutu wamefyeka jirani zao, nao wanaanza kulipiza kisasi.
  UN inasema wahutu waliua watutsi 800,000 na RPF ikaua wahutu 25,000 in revenge attacks.
  4. Genocide ilikuwa ni hutu project. ambaye hakushika panga, alipora mali, ambaye hakupola alipiga kelele na kuwafichua watu wauae, ambaye hakufanya hivyo basi alikaa tu, I dont care whether they are killed or not.
  So, majority hutus, ambao waligain their numbers through depopulating tutsis have to reconcile with tutsis.
  Any examples from South african experiece?
   
 2. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Watusi wanajiona superior kuliko wahutu.
  Burundi na Rwanda ,majority ni wahutu.Kama kuna one vote one man,wahutu watakuwa wanaunda serikali.
  watusi ni gangsters,kila mtu anajua kuwa watusi waliyungua ndege iliyowaua 2 presidents.
  ndio chanzo cha matatizo.watusi ndio hawa wame destabilise eastern congo.

  tuna mtusi Rais wa Uganda,kipenzi cha tanzania,ambaye hataki kuachia madaraka tangu 1986
   
 3. RUTAJUMBUKIRWA

  RUTAJUMBUKIRWA Senior Member

  #3
  Feb 12, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Makonde unatokea kigoma? make attitude yako ni ya Kiha zaidi, prejeduces.
  Sasa nothing can justify genocide! Mhindi akimtungua JK basi tushike mapanga, mlango kwa mlango tunaua watoto, wanawake na vizee?
  Tujadili namna nzuri ya kufuata mfano wa RSA
   
 4. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Ruta unaonekana wewe ni mtusi!
  Bahati nzuri hamkuiteka tanzania!na kwa nini umechagua Kigoma na waha ?Wamekukosea nini waha?
  Propaganda ya Kagame inajulikana.Wafaransa wamemtaja kuwa yeye ndiye mhusika wa kutungua ndege iliyokuwa na marais 2 wa nchi!Haijawahi kutokea duniani .
  Sasa Kagame amesema anabadili system yote kuwa ya Kiingereza ,lugha vyuoni etc.

  Can you imagine tanzania tubadili system tuwe ya kifaransa?
  Mfano wa RSA ni mzuri ,kama majority watakuwa na haki.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...