Sipo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 2,139
- 105
Nimepita hii barabara jana nikiwa kwenye safari zangu za kwenda Kisarawe wakati mvua ilipokuwa inanyesha, ni aibu jamani, maji yalikuwa yamejaa/yametuama barabarani. Sasa nashindwa kuelewa itakuwaje hiyo Eli-Nino ikianza. Mkandarasi inabidi alione hilo