dunia nzima imezizima kwa msiba wa kiongozi huyu mstaafu. sijui vigezo vinavyotumika kumpata kiongozi bora wa ngazi ya urais aliyestaafu, lkn nawauliza wenye kujua huyu mzee naye ni kama hawa wengine hakuwa na...