Manchester utd - real madrid agg: 1-1

Manchester utd - real madrid agg: 1-1

Manchester utd - real madrid agg: 1-1

sir alex ferguson amesema hajutii magoli mengi waliyokosa mechi iliyopita bernabeu,

mimi pia naamin manchester utd itapata ushindi mzito na kikosi chake imara....bravo utd

I predict Real Madrid to knock out United tonight
 
me ni united damu,lakini nakiri leo tunakibarua kigumu sana na kitakachosumbua sana ni spirit ya ushindi ambayo madrid wameipata baada ya kuwafunga mfululizo baka,lakini spirit hiyox2 inaweza kutusaidia kama tukiwahi kuwafunga,maana itakuwa suprize na watashindwa kujielewa kwa muda,hapo tutaweza kuwaongeza na lingine.
 
Ni kawaida ya Morinho kutulaza kwa furaha kila tunapokutana na timu za waongeaji, huyo Kagawa atagawa mpaka visivyopaswa leo.
 
Tukiweka ushabiki pembeni tukaja kwenye ukweli, hii game ni tough, but real madrid wapo kwenye form mbaya aje! Wameshinda el classico mbili, wachezaji wapo vizuri kiakili, wanamorali ya kiwango cha juu, baada ya kuwa na uhakika wa kuambulia angalao kombe 1la copa delaray watakapocheza madrid derby dhidi ya atletico madrid. Man u nao wapo vizuri, lakini c kwa kiwango cha madrid. Ukija kwenye individual player, Pepe, Essien, Sergio Ramos, Khedira,na hata CR7 ni watu wa kutumia nguvu sana. Rooney, vidic na Evra ndo kidogo wanaonekana kuwa watumia nguvu. Mchezo utakuwa mgumu natabiri Man U 0-2 Real madrid.
 
Real Madrid Starting XI:
Diego López, Arbeloa, Varane, Ramos,
Coentrão, Khedira, Xabi Alonso, Di
María, Özil, Cristiano Ronaldo &
Higuaín
 
Manchester United starting XI: De Gea,
Rafael, Ferdinand, Vidic, Evra, Carrick,
Cleverley, Nani, Welbeck, Giggs & Van persie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom