Inauma sana kwa hawa ndugu zetu maana baadhi ya ndugu wamekuwa wakipoteza maisha kwa ajili ya unazi wa hii club. Ivi Edwoord ward anaelewa kweli au kusikia haya. Wadau wa michezo mnaonaje mwenendo wa club, tatzo lipo kwa KOCHA, WACHEZAJI, MAKAMU WA UFUNDI????